Hivi Idd Amini alikuwa mbaya kiasi hicho Nyerere alivyotuaminisha?

Anakotokea iringa ndiko nimezaliwa alikuwa rpc babu yake babu yangu akiwa mkuu wa wilaya
Aliekuwa RPC ni baba yake SIO babu
Na aliuwawa na jeshi la uganda

Na waliotaka kumpindua nyerere ni
Akina Zakaria Hans pope na wenzie akina anko Tom
 
Tuliaminishwa huyu Mwamba "Eti aliwaalika walemavu viwete kwenye sherehe akawapandisha kwenye tipa akaenda kuwamwaga mtoni,😁


mara ohhh alikuwa anakula nyama za watu😁

mara ohhh jamaa alimuuwa mtoto wake alietaka kumpindua madarakani,😁

Kubwa kuliko ni ile yakujipa vyeo vya kijeshi Kila mwezi mpaka akafika renk ya u Field Marshal 😁
Hii naikumbuka sana, alafu ilikua inahadithiwa jinsi alivyokua anapenda kula nyama za watu, labda alikua anakula mbele ya Camera za Televisheni ya Taifa maana kila mtu aliiadithia kama vile alimwona.
 
Kwa hii picha kweli JK alitumika. Kuna mbulula bado zina amini propaganda za mwaka 70. Huenda hata hakutuvamia. Nani anaweza kuthibitisha kuwa tulivamiwa zaidi ya JK.
Hakunaga mwamba mwingine barani Africa aliebebwa na wazungu zaidi ya IDD Amin Dada mla watu. Eti alikuwa anakula watu na alimla mkewe. Dunia hii!
Wazungu ni watu wa kisasi sana ukipata muda soma historia ya Haiti, jinsi weusi walivyo wauwa wakoloni wa kifaransa. Wakoloni waliuliwa kwa kuwafanyia mateso mpaka leo Haiti wanaifanyia figisu. Hata wamefikia kuikata nusu upande Haiti na upande Dominican Republic. Hii vita ya kagera Nyerere kafanya kwa kuwa furahisha walio msaidia kumuweka madarakani. Kama utasoma vyema history ya Tanzania na ugomvi wa Nyerere na Kambona utajua kama Nyerere alikuwa kibaraka wa uingereza.
 
Upumbavu mtupu.

Hata kama Iddi Amini alikuwa mzuri kwa namna na watu wengine, kwetu sisi WATANZANIA alikuwa mtu mbaya kupitiliza. Alikuwa adui yetu namba moja. Kuvamilia ardhi yetu kwa nia ya kujimilikisha tena kwa kuwaua mashujaa wetu bila huruma, kiwango cha juu cha Unyama.

Nakujua sana wewe. Ni mdini, mvaa kobazi kindakindaki. Hata uzuri wa Amin unautafuta kwa sababu alikuwa Ustadhi mavi.

--(A)Baada ya Amin 1976 kuendesha zoezi la kuwakaribisha hijackes wapalestina walioteka ndege ya ufaransa iliyosheheni waisraeli kadhaa na kulazimisha kuishusha entebe airport Uganda.,

Wapalestina watekaji waliwazuia mateka wa Israel na kudai kurudishwa ardhi yao ya Gaza wakiwa ndani ya uganda.,,
Tukio liliwaudhi mabeberu akaundiwa zengwe kama alivyoundiwa zengwe Gadaf,,Sadam Hussein ,,na wengine wote wanaotuhumiwa kudhamini magaidi duniani.

-(-B)Idi Amini ilikuwa lazima aondoshwe sababu alikuwa na mpango wa kujenga chuo kikuu cha kiislam kikubwa kuliko vyote east and centre Africa kwa msaada wa Gadaf wa Libya..mpango uliopingwa kwa nguvu zote na viongozi wa east Africa wa wakati huo.

Ni kama alitafutiwa sababu apigwe,,

Mwaka 1976 East Africa viongozi wote walikuwa ni wafuasi wa Roman Catholic church
Kuanzia Raisi jk Nyerere, Obote wa Uganda aliyepinduliwa na Amin,na Rais Kenyatta wa Kenya.

Amin ilikuwa lazima apigwe aondoshwe kwa faida ya kanisa na wagalaltia wote duniani..

Zikatengenezwa propaganda kwamba
-- anakula nyama za watu.
--mtu katili.
-- analala na wanawake 3 kitanda kimoja.
-- anachukuwa viwete na kuwatupa mto kagera waliwe na mamba.
Akapewa Jina la Nduli Amin,,nk.

Nje ya hapo alikuwa muislam Safi kabisa na mchapa Kazi asiyependa wazembe na wavivu kazini.
Na alikuwa na uchungu na Uganda na Africa kwa ujumla.
Ukienda Uganda leo Wana story tofauti na tulivyoaminishwa kuhusu Idi Amini Dada..
 
Back
Top Bottom