Hivi huyu ni muongeaji au pacha wake?

Hivi huyu ni muongeaji au pacha wake?

Ana AKISiA kama yeye sema hajaTULIA make nimjuavyo hilo pozi hawezi kulandana nalo.
Katokelezea ka chura wa kihansi!!
 
Mim nashindwa kuamin,ila miwani kidogo imenifanya niamin niyeye,kwan na yeye anapenda kuvaa miwan sasa hivi vingine nimeshindwa kuelewa
Aaah!kaza macho kidogo utauona mpaka moyo wake.
Mbona huyu dogo akimuona tu kwenye tv anakaza wa mbuzi
images-8.jpeg
 
Back
Top Bottom