Hivi huyu ni muongeaji au pacha wake?

Hivi huyu ni muongeaji au pacha wake?

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
6d83f3d98622d3967e0b81e997cec929.jpg

Nimeikuta pic hii sehem nimekuta watu wanabishana mengi lakin nikaona nielete hapa tuseme kama ndie au laa.

Mkisema mengine hayo yatakuwa yenu mi nataka kumjua tu
 
Duuu basi hatuna mtu hapo ndio maana mamb hayeendii
 
Walikuwa wanabishana kuhusu nini mkuu.
Wajumbe hapa wanaweza wakawasaidia
 
6d83f3d98622d3967e0b81e997cec929.jpg

Nimeikuta pic hii sehem nimekuta watu wanabishana mengi lakin nikaona nielete hapa tuseme kama ndie au laa.

Mkisema mengine hayo yatakuwa yenu mi nataka kumjua tu
Wanafanana kweli aisee, waweza kudhani ndiye! Lakini siye kwani muongeaji hana miguu design hiyo!
 
Aaah!Ndiye mwenyewe na tuvimiguu vyake vya ufito.Alstahil kufanya ile kazi ya kutupatia huduma vichochoroni usiku sio hii ya kutu.... .....
2016-11-01-00-50-50-275118560.jpeg
 
Walikuwa wanabishana kuhusu nini mkuu.
Wajumbe hapa wanaweza wakawasaidia
Watu wamebishana sana kwanza juu ya ukweli kuhusu picha kuwa je ndio muongeaji mwenyewe au wanafanana,lakin wakaenda mbele zaidi juu ya credibility yake kama tu ameweza kupitia hatua kama hizo na kuongoza chombo kikubwa kama bunge,na zaidi kuwa je kama yuko rough au alikuwa rough hivyo je hizo rough kwa sasa haztakuwepo ofcoz yameongelewa mengi ,pengine mengine yabaki huku nililko maana sio pahala pake hapa!!
 
Wanafanana kweli aisee, waweza kudhani ndiye! Lakini siye kwani muongeaji hana miguu design hiyo!
Nimeamin pia hivyo na imekuwa msimamo wangu lakin kuna watu wanadai ndie,nimekosa kuelewa kama ndie au laa!
 
Aaah!Ndiye mwenyewe na tuvimiguu vyake vya ufito.Alstahil kufanya ile kazi ya kutupatia huduma vichochoroni usiku sio hii ya kutu.... .....
View attachment 429972
Mim nashindwa kuamin,ila miwani kidogo imenifanya niamin niyeye,kwan na yeye anapenda kuvaa miwan sasa hivi vingine nimeshindwa kuelewa
 
Back
Top Bottom