Hivi huyu ni binadamu au jini?

Kweli uchaga mzigo! Ushawahi sikia concealer na make up? Akipakwa Pinda ama Wasira utadhani mr ccm. Huyu bila makeup asubuhi hata hangover hupati kwa mstuko!
hii mutu ni mto ya kuotea mbali ni mzuri balaa yaani hana hata doa.. sijui huko chini kutakuwaje..
 
Mrembo mzuri sana dah cpati picha kama angepita hapa mbele yangu jaman mmh yan mzuri mzuri kweli eti jamani.
 
Nitakutafuta mkuu ngoja kuandalie kwanza unlocking code yako maana nisipofanya leo nitasahau tena. Nimekutumia e-mail icheki

@Young_Master, hukuchanganya habari lakini! Au tunaohitaji code ni wengi?
 
@mkizungo Sasa wewe unawachokoza waislam unatoka kwenye Topic ya kuulizia huyu mwanamke Mzuri unaingia kwenye Masuala ya Dini mkuu hapa sipo mahala pa dini nenda kule jukwaa la dini na imani kaulize maswali yako utajibiwa Tafadhali heshimu dini za wenzako.
 
Mbona wana vi-dot.com hapo juu ya mdomo???
 
Kweli uchaga mzigo! Ushawahi sikia concealer na make up? Akipakwa Pinda ama Wasira utadhani mr ccm. Huyu bila makeup asubuhi hata hangover hupati kwa mstuko!

Duh! King'asti hilo nalo neno mtu wangu.
 
Last edited by a moderator:
@Young_Master kuna mengi tu ya kujifunza hapa ni chuo kikuu mkuu umeipata email yangu niliyokutumia?

Nimeipata MziziMkavu na bado ninaisoma ila naomba unijibu PM yangu maana napata shida kugenerate unlocking code ya simu yako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…