@Young_Master ndio Sheikh yahya alifundisha kuwaita sasa ukiwaita je utaweza kukabiliana nao? ukiwaita majini hawaji kibinadamu wanakuja kimaumbile ya Wanyama wa kutisha kama nyoka mkubwa chatu, Simba, Paka Mweusi
Mkubwa,Mbwa mweusi mkubwa,Fisi, na kadhalika ukiwaita lazima uwe mtu Strong Mtu usiye ogopa vishindi vyake. tofauti na huyu ninayekukwambia huyu jini ninaye kukwambia ni wa kufuga kuna waarabu huko Yemen wanafuga Majini
na kuyauza na ukitaka wampelekea pesa zako anakuletea linakuja hilo jini nyumbani kwako unampa address yako anakuletea nyumbani kwangu unaishi nalo kama binadamu tu wewe unaliona Watu wengine hawalioni na litakuwa
linakulinda na Mwizi hawezi kuingia nyumbani kwako wala Mchawi na biashara zako zitakuwa zinatoka ila ukubaliane na masharti yake tu Makuu . mambo ya Zinaa hataki ,Ulevi hataki,kusema uongo pia hataki inatakikanauwe mtu mzuri kwa vitendo upo na mimi mkuu.
Ukitaka maelezo zaidi kuhusu majini wasiliana na mimi kwa njia ya email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com)