Hivi huyu mtu ameweka mizizi gani ndani ya muda huu mfupi inayomfanya ajiamini na awe na kiburi kiasi hiki?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Huyu mtu tangu aingie ofisini ana muda mfupi tu lakini matendo anayoyafanya utadhani amekalia ofisi hiyo kwa miongo kadhaa na amejiimarisha vya kutosha.

Najiuliza ana uhakika walioko ngazi za nchini wako loyal kwake kama hao wa juu aliokuja nao?

Hata hao wa juu,amekuwa na mahusiona nao kwa muda gani mpaka aamini hawawezi kumchoka?

Hawa anaowaamini,hawana ndugu,jamaa na marafiki ambao ni wahanga wa matendo na maamuzi yake?

Je,si kweli alihitaji muda wa kutosha wa kuwapima hawa watu anaowaamini kiasi hiki?

Hivi ana uhakika wote wanaomzunguka wanapendezwa na matendo yake?

Amewahi kujiuliza habari zinazodaiwa kuvuja kama ni za kweli huwa zinatoka wapi?

Unaigaje matendo ya wenzako waliokaa katika ofisi zao kwa miongo kadhaa huku hata wao wenyewe sometimes mambo huwabadilikia?

Mizizi hii inayompa kiburi na kumfanya ajiamini,kaijenga lini?

Nawaza kama bwana huyu ni mtu muangalifu na makini.
 
Sometimes yes,sometimes no

ni sawa na wale ponda Mali kufa kwaja

Na huchelewi kukuta ni ile breed ya liwalo na liwe

they don't care.
 
Huyu mtu tangu aingie ofisini ana muda mfupi tu lakini matendo anayoyafanya utadhani amekalia ofisi hiyo kwa miongo kadhaa na amejiimarisha vya kutosha.

Najiuliza ana uhakika walioko ngazi za nchini wako loyal kwake kama hao wa juu aliokuja nao?

Hata hao wa juu,amekuwa na mahusiona nao kwa muda gani mpaka aamini hawawezi kumchoka?

Hawa anaowaamini,hawana ndugu,jamaa na marafiki ambao ni wahanga wa matendo na maamuzi yake?

Je,si kweli alihitaji muda wa kutosha wa kuwapima hawa watu anaowaamini kiasi hiki?

Hivi ana uhakika wote wanaomzunguka wanapendezwa na matendo yake?

Amewahi kujiuliza habari zinazodaiwa kuvuja kama ni za kweli huwa zinatoka wapi?

Unaigaje matendo ya wenzako waliokaa katika ofisi zao kwa miongo kadhaa huku hata wao wenyewe sometimes mambo huwabadilikia?

Mizizi hii inayompa kiburi na kumfanya ajiamini,kaijenga lini?

Nawaza kama bwana huyu ni mtu muangalifu na makini.
Vipi Mbowe?
 
Unaumwa akili wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawashwawashwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom