hivi huyu mkaka.....

Status
Not open for further replies.
Sasa kama uliwahi kusema una K kubwa
una hakika huyu jamaa ana Mb kubwa pia?
OTIS
 
Babu huo uzi sintoukosa hahahh
asante Bibi alipenda zawadi yake??

We acha tu AD,

Nimejikuta nabaki kinywa wazi....You are amazing!!

Bibi alienda kusalimia wajukuu...akirudi nitamuonesha...Naamini ataipenda zawadi ya kajukuu!!

Sasa mkaka kama huyu unamtaka tukutafutie??

Babu DC!!
 
huyu atakuwa ni mfa maji haishi kutapatapa ye kilakitu sawa anasahau kama alishafanya maombi mbele ya jamvi hili na ulivomuwekea thread zake zote hapo juu KATAHAYARIJE!!
 
MMH ukiwa na mume wa type hii anayepaka perfume za kike huyo ujue anakuwa na mademu wa nje ambao wanaperfume za kike na wanakumbatiana hata akiachiwa perfume ya hawara akirudi home anajitetea nimepaka perfume ya kike home wengi ni wakware
 
huyu atakuwa ni mfa maji haishi kutapatapa ye kilakitu sawa anasahau kama alishafanya maombi mbele ya jamvi hili na ulivomuwekea thread zake zote hapo juu KATAHAYARIJE!!

hahhaahha...ni zaidi ya kutahayari,alidhani watu hawafuatiliii...watu wapo makini sana humu ndani!!! Ashukuriwe sana dada Mwali for the reminder,maana nilivyosoma tu nimesonyaaaaaaje!!!
 
We acha tu AD,

Nimejikuta nabaki kinywa wazi....You are amazing!!

Bibi alienda kusalimia wajukuu...akirudi nitamuonesha...Naamini ataipenda zawadi ya kajukuu!!

Sasa mkaka kama huyu unamtaka tukutafutie??

Babu DC!!

Nashukuru kusikia umependa..
dahhh babu Kijana ni mzuri lakini
kwangu HAPANA.. hahahahah lol
 
hahahah shosti sikujua ana mke,atanifanya nini kwani na yeye si mwanamke kama mie tu lol,haiwezekani mwanaume mzuri kama huyu akawa na mmoja tu,mie najitolea kuwa wa pili lol

uzuri wake upo kwenye nini rebeca?
 
Nahisi atakuwa Jini au shetani ndugu yake na Luciter
 
wewe dada acha kunywa mataputapu,mie niliiingia kutafuta mchumba humu lini???? au unatafuta kijanja??na hata kama ingekuwa kweli kuwa natafuta mchumba,nikijiharibia wewe inakuhusu nini acha zako....niko hapa JF kujifurahisha....siko hapa kujipotray am perfect woman like some of you potray yourselves!!!!
 
huyu atakuwa ni mfa maji haishi kutapatapa ye kilakitu sawa anasahau kama alishafanya maombi mbele ya jamvi hili na ulivomuwekea thread zake zote hapo juu KATAHAYARIJE!!

hunijui,sikujui na itabaki kuwa hivyo kaka unitue eeeh,hizi assumptions zako zinabaki kwenye hilo bichwa lako lisilofikiri.....lini nilitafuta mchumba humu kama hujui kutafuta threads za mtu nenda kwenye profile ya mtu angalia stated threads...halafu useme hio niliyotafuta mchumba ilikuwa lini????acheni kudandia treni kwa mbele watu wazima hovyooooo!
 
hahhaahha...ni zaidi ya kutahayari,alidhani watu hawafuatiliii...watu wapo makini sana humu ndani!!! Ashukuriwe sana dada Mwali for the reminder,maana nilivyosoma tu nimesonyaaaaaaje!!!

acha kudandia treni kwa mbele,huna hata haya..eti wanafuatilia,wanafuatilia nini sasa.......kwani nina lipi la kuficha mpaka niwaogope nyie vivuli?
 
umesikika lol,ila siasa wengine tuna aleji nazo...wacha tuchill tu kwenye majukwaa mengine,hilo la siasa tunawaachia nyie.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…