Hivi huyu Mario ni nani?

Aisee huyu dogo ni genius wa muziki wa bongo.

Nyimbo za vilio vya mapenzi yuko poa. Sikiliza INATOSHA na UNANIONEA utanielewa.

Nyimbo za kuruka sikiliza MAMA AMINA. Nyimbo za kufurahia penzi sikiliza FOR YOU

Huyu dogo atafika mbali sana narudia tena kusema hili. Naiona nidhamu ya hali ya juu kwa management yake na ana mashairi ya peke yake na midundo inafanya muziki wake usikuchoshe kuusikiliza.

Aisee huyu dogo ni level nyingine
Kwenye mama amina yule dada msouth aliyeimba mwisho (Bontle Smith) kawapoteza sana mule ndani kaimba vzr
 
Kwenye mama amina yule dada msouth aliyeimba mwisho (Bontle Smith) kawapoteza sana mule ndani kaimba vzr
Yote kwa yote ila dogo anajitahidi kutembea na soko.

Yaani kutusua enzi hizi za domo ni ngumu sana. Lakini dogo amejitahidi kupenya mpaka kufikia hapo alipo. Naamini akizidisha bidii na kuendelea kutulisha kitu masikio inapenda, ni star mkubwa wa hapo mbele
 
Kwenye mama amina yule dada msouth aliyeimba mwisho (Bontle Smith) kawapoteza sana mule ndani kaimba vzr
Kawapoteza mpaka kucheza amapiano, na week kama mbili zilizopita alikuja Tz alikua maison...nae ni miongoni mwa wadada wana hit S.A pamoja na Kamo mphelax
Yote kwa yote ila dogo anajitahidi kutembea na soko.

Yaani kutusua enzi hizi za domo ni ngumu sana. Lakini dogo amejitahidi kupenya mpaka kufikia hapo alipo. Naamini akizidisha bidii na kuendelea kutulisha kitu masikio inapenda, ni star mkubwa wa hapo mbele
Hakya Mungu kutoboa enzi za Domo ngumu
 
Kawapoteza mpaka kucheza amapiano, na week kama mbili zilizopita alikuja Tz alikua maison...nae ni miongoni mwa wadada wana hit S.A pamoja na Kamo mphelax Hakya Mungu kutoboa enzi za Domo ngumu
Wewe si unaona kila anayejitahidi ni mwendo wa kuangukia pua tu
 
Kawapoteza mpaka kucheza amapiano, na week kama mbili zilizopita alikuja Tz alikua maison...nae ni miongoni mwa wadada wana hit S.A pamoja na Kamo mphelax Hakya Mungu kutoboa enzi za Domo ngumu
Yaani nikiplay huo wimbo youtube huwa naangalia tu hicho kipande cha Bontle Smith. Nakipenda sana.
 
Mamaa Amiiinaa.....
Bibie Bontle Smith kaitendea haki ile video. Sichoki kuitizama
 
Hii thd ingeambatana na hizo nyimbo mnazo zisifia ingependeza sana,mimi nipo huku Kijijini ndani ndani wala simjui huyo mnaye mjadili hapa,

Wekeni hizo nyimbo zake nimsikilize kisha nitarudi kuchangia mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom