Hivi huyu jamaa ni kijana au mzee?

Mnatamani mambo makubwa uwezo Mashah!, Acheni watu wajilie vyao wanapesa za matumizi
Hasa LePumbazi kwenye watu wenye pesa za matumizi nae utamtaja.. Mtu anatembelea gari zima limepigwa sticker za matangazo.

Kujibu mtoa mada kusema ukweli umri wa jamaa unachanganya maana licha ya kuzaliwa kabla nchi haijapata uhuru. Ila mpaka sasa bado yupo UvCCM

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
70cc6e6c785917d8fada228755c1e9d7.jpg

Hapa yupo After School Bash na bijana wenzake
 
Back
Top Bottom