hivi huyu jamaa mpaka leo yupo.

hivi huyu jamaa mpaka leo yupo.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
1f35fedb1482a50617262f1d5bac72fb.jpg
 
Mwaka 1983 huo,miaka33iliyopita.Tuseme wakati huo akifanya maonesho alikuwa kijana wa miaka 26au27 hivi.Kwa hiyo kama huyo power fulani bado hai atakuwa na umri wa miaka 59 au sitini na.Kwa umri huo hana yale maguvu ya ujanani amepumzika anakula alichopanda ujanani - kama alikuwa na akili.
 
Alikuwa jamaa mmoja, aliitwa 10 by 10. Jitu la miraba minne.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom