Hivi huyu jamaa aliswali kweli?

Hivi huyu jamaa aliswali kweli?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
Kwakuwa baada ya kujitakasa kwa maji safi, ile anavuka tu kizingiti cha mlango mbwa akalamba miguu yake..!
 
ndio aliswali coz mbwa hakulamba miguu ya jamaa alijilamba miguu yake mwenyewe
 
Alilambwa? Alilambwa ni synonimous ya kugegedwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom