Hivi huyu celebu wa Bongo yu wapi

Hivi huyu celebu wa Bongo yu wapi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
05.JPG
 
hata mimi sijamskia wala kumuona siku nyingi. mara ya mwisho nilimuona pande zile za nyumbani lounge kwa gadner mwaka jana kwenye mwezi wa nne au tano
 
Yupo calfonia kwa obama:
source facebook a/c yake
 
mbona hii picha (hapo ulipoichomoa) ina maelezo ni wapi alipo
 
hivi huyu si ni mmama mtu mzima,mm mwenyewe hapa niliposiwezi acha tumbo wazi namna hii japo bado kigori.
 
Ikesha naona paja la kushoto ni dogo kuliko la kulia.................
 
Ni nani huyu?

Hii ndo status ya Jaffarai huko facebook, ambayo mpaka sasa ina comments 217 toka kwa washabiki wake...

Jaffarai Jaffarhymes

'nimeachana na shyrose bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana'

Jaffarai pia alihojiwa na clouds fm radio haya ndio aliyoyasema

Jaffarai Azungumza Na 255 ya CloudsFM kuhusu kuachana na Shy-rose... Sikiliza Hapa - GongaMx
[h=2]Hii ndo status ya Jaffarai huko facebook, ambayo mpaka sasa ina comments 217 toka kwa washabiki wake...[/h]

avatar yako yenyewe upo uchi af unamshangaa huyu kuacha tumbo tu...?? pili ni mhindi hata wabibi kabisa wanaacha wazi matumbo yao....jipange cheusimangala sawa eeh...
 
Hata wewe da Lizzy unanipiga kijembe namna hii asante kwa kuwa nakuheshimu, sorry kama nimekukwaza my bad!

Sasa ulipotoa picha kuna maelezo yote alafu unakuja kutuuliza sisi ili iweje? Siungesema tu.
 
Back
Top Bottom