Hivi huyu baba nanihiii vipi?

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Hivi huyu Baba Nanihii vipi? Wenzake tunateseka na mgao na uhaba wa mafuta, yeye anaongelea udini!

Ndio hiki ni kipindi cha Ramadhani kwa hiyo kwenye "normal" condition topic ya udini ingeongelewa.....Lakini huoni kua huu sio muda wake? Huoni kua kuna tatizo kubwa sana linaloendelea sasa hivi?

Umelogwa?
 
Mnamuonea raisi wa tanzania mimi toka nilipojua kuwa uwezo wake nimdogo nimemsamehe ninachofanya nikumuombea tuu, ajue hana uwezo.
 
Back
Top Bottom