Hivi huwa unajisiakaje pale unapoona vijana wadogo uliowazidi umri wamefanikiwa kuliko wewe?

Oh, hapo kuna suala la kujiwekea akiba, sio kuingia.
Je ukipatacho inatumia sawa sawa....?
Mafanikio ni kitu hata sana, maana kutegemea na uwezo wako pia inaleta mafanikio ukijilinganisha ulionao.
Kubwa ishi maisha yako
Ni kweli mkuu,ndio maana wanasema ili usipate magonjwa ya moyo ridhika na ulichonacho kwani ni Mungu ndiye amepanga iwe hivyo.
 
Ndio maana walioajiriwa hawapo kwenye list ya matajiri-FORBES;na wengi walioajiriwa wanapenda kujitetea kweli eti wamefanikiwa,nitajie tajiri mkubwa kwenye forbes ambaye ameajiriwa.Unachotakiwa kufanya ajiriwa kwa muda mchache chukua mtaji ingia vitani utengeneze billions
Bila shaka ukitumia akili kidogo tu utagundua kuwa kufanya biashara ndiyo njia pekee ya kuwa tajiri mkubwa miongoni mwa walio duniani! Yes hata bahati nasibu ni biashara ati! Kuajiriwa hakuwezi kukufanya kuwa tajiri. Je kufanikiwa kimaisha ni lazima uwe tajiri? Jibu ni hapana! Wapo watu mamilioni walioajiriwa na wana mafanikio. Naona tunapishana kwa sababu mafanikio kwako == utajiri!
 
Bila shaka ukitumia akili kidogo tu utagundua kuwa kufanya biashara ndiyo njia pekee ya kuwa tajiri mkubwa miongoni mwa walio duniani! Yes hata bahati nasibu ni biashara ati! Kuajiriwa hakuwezi kukufanya kuwa tajiri. Je kufanikiwa kimaisha ni lazima uwe tajiri? Jibu ni hapana! Wapo watu mamilioni walioajiriwa na wana mafanikio. Naona tunapishana kwa sababu mafanikio kwako == utajiri!
Ni kweli mkuu huwezi kusema umefanikiwa,baada ya siku mbili tatu uko kitandani unaanza kutembeza bakuli la kuomba michango.
 
ki ukweli naumiaga sio kwamba sipendi mafanikio yao..najaribugi tu kuwaza shida nini kwangu hadi madogo wanipige gap kiasi kile...

Kina mond mi nawaona wakubwa na they deserve ila kuna kichaliiii kilivyopata hela hadi leo kinanchanganya akili yangu

Hvi juzi tu kametoka nunua mguu wa kuku...kufika kwa RPC anaambiwa apeleke pay slip za benki kuonyesha kwamba anahitaji kumilikishwa...Alivyoleta hzo paper za miamala..mali anazomiliki ilibidi nikae kimya kama zezeta.

Saivi anatembelea harrier matakooo... ni kadogo ka 1998 kanakotoka katika maisha DUNI dhiki isiyosimulika lakini kufuru zake mtaani saivi kila mtu anazijua.

Ninachompendea hana makuuu,hana dharau anasalimia wakubwa zake ila TU najionaga FALA sana nikimfikiria,kwa alipofika hadi nawaza sijui nifanye nini ili nifike huko.

Sema basi tu nakausha nahangaika kivyangu..japo inaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kila mtu ana riziki yake, muda wa kuipata na njia za kuipata vinatofautiana ndio maana mtu wa umri wowote anaweza kuipata riziki yake muda wowote ule
Kweli kabisa ndio maana Mondi katusua utotoni while Prof bud bado analilia hadi uzeeni
 
Mbali na huo mtazamo wa kibiashara,namaanisha ili useme umefanikiwa unatakiwa uwe na uhuru wa kifedha...hata ukiwa unaumwa kitandani fedha inaingia...hii haimaanishi mtu ameajiriwa leo ni CEO/Manager n.k anasema amefanikiwa wakati hana uhuru wa kifedha zaidi ya kungojea mshahara,akitumbuliwa anaanza kulia lia.
Unamaana ukiajiliwa hela unayopata huinvest elsewhere?huyo atakuwa CEO fake
 
maendeleo ni akili na sio umri!matumizi sahihi ya akili, kuchambua, kutambua na kutumia fursa zilizopo + ubunifu.

Ingekuwa umri ndio kigezo ktk maendeleo bas babu zetu + vikongwe walio wengi wangekuwa matajiri...cha ajabu wao ni ombaomba na umri wao mkubwa!
 
Hamuwezi mkafanana...

Unaweza ukawa mkubwa kiumri na ukayaanza maisha mapema ila vijana wanaokuja nyuma yako wakakupita..


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom