Hivi huwa unajisiakaje pale unapoona vijana wadogo uliowazidi umri wamefanikiwa kuliko wewe?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Hebu tupeane uzoefu na hisia katika hili ivi huwa unajisiaje au unachukulia vipi jambo hili pale unapoona vijana wadogo ambao kiumri umewazidi na wengine tangu watoto wanakuwa unawaona leo hii wamefanikiwa kuliko wewe katika maisha

Hivi huwa unajisikiaje?
 
hebu tupeane uzoefu na hisia katika hili ivi huwa unajisiaje au unachukulia vipi jambo hili pale unapoona vijana wadogo ambao kiumri umewazidi na wengine tangu watoto wanakuwa unawaona leo hii wamefanikiwa kuliko wewe katika maisha

ivi huwa unajisikiaje
Kawaida tu. Labda uishi kwenye kundi la masikini ndio hutaona kitu kama hiki.
 
Kufanikiwa kivipi...? Unajua wametumia njia gani?
Wengine wangese.....
 
Kufanikiwa kivipi...? Unajua wametumia njia gani?
Wengine wangese.....
kufanikiwa katika level zote katika maisha kama vile kumiliki nyuma nzuli,kuwa na gali nzuli, kuwa na pesa,kuwa na kazi nzulii n.k
 
Ndio pakujiuliza wametumia njia gani....? Je za halali au familia bora....?
Huwezi jua ametumia njia gani labda umuulize,Huwezi kujua sababu wakati anapambana hukuwa nae, ni kwamba wewe utaona tu amefanikiwa. Sasa yale mafanikio yanakupaje wewe changamoto katika njia zako za mafanikio unazotumia na zilipokufikisha? Visingizio vya familia bora tuviweke kando kwanza maana hata wao lazima wapambane kuendeleza ubora wa hizo familia.

Kwa upande wangu huwa inanikera kwa kweli, na ndio kinachonipa morale ya kufanya kazi kujaribu labda mm siku moja ndo niwe wa kutazamwa.
 
hebu tupeane uzoefu na hisia katika hili ivi huwa unajisiaje au unachukulia vipi jambo hili pale unapoona vijana wadogo ambao kiumri umewazidi na wengine tangu watoto wanakuwa unawaona leo hii wamefanikiwa kuliko wewe katika maisha

ivi huwa unajisikiaje
Huwa najisikia vibaya huku nikihitaji kujifunza kutoka kwao.Napenda Sana challenges, maana unipatia mbinu mpya ya kujikwamua.
 
hebu tupeane uzoefu na hisia katika hili ivi huwa unajisiaje au unachukulia vipi jambo hili pale unapoona vijana wadogo ambao kiumri umewazidi na wengine tangu watoto wanakuwa unawaona leo hii wamefanikiwa kuliko wewe katika maisha

ivi huwa unajisikiaje
Kumbe mnashindana
 
Ndio maisha yalivyo;wanasema cheka na watu uweze kuvaa viatu....ukikomaa mwenyewe hufanikiwi mkuu;cha muhimu ni kuangalia unacheka na nani,ukicheka na mwenye njaa, njaa itakutembelea tu,ukicheka na matajiri,waliofanikiwa,wenye madaraka n.k unaweza usipate njaa.Cha muhimu muungano wako na hao watu ukoje na unautumiaje.
 
Kila mtu ana njia yake ya kujipatia riziki, kipato hakilingani!

Huwa nawaombea wafanikiwe zaidi na zaidi!
Ukiwa karibu na mtu anayenukia vizuri nawe utanukia vizuri,tuwe makini ni network ipi tunaitumia katika kutafuta mafanikio
 
Ndio pakujiuliza wametumia njia gani....? Je za halali au familia bora....?
Waliofanikiwa huwa wanaupeo mkubwa wa kufikiri kuliko ambao hawajafanikiwa,naamini tukiwafanya kuwa marafiki nasi pia tunaweza kufanikiwa
 
hebu tupeane uzoefu na hisia katika hili ivi huwa unajisiaje au unachukulia vipi jambo hili pale unapoona vijana wadogo ambao kiumri umewazidi na wengine tangu watoto wanakuwa unawaona leo hii wamefanikiwa kuliko wewe katika maisha

ivi huwa unajisikiaje
Unajisikia kawaida bila shaka unless uwe mjinga sana ndiyo utajisikia vingine. Hii dunia imejaa mamilioni ya watu wenye umri chini yako na wamefanikiwa hivyo siyo jambo la ajabu. Utashindana wa wngapi?
 
Back
Top Bottom