The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 346
- 498
Yani mkuu sijui ni kwann yani mtt unamtreat kama princess lakini waapi..Bad boys hupendwa sana na wanawake waweza kuwa mstaarabuuuuuuuu hlf demu wko anamuelewa sana mpuuzi flani tu hko nje hana mpnz ya kweli,hajali,katili,muhuni tu ila demu wko ndio hasikii haoni we unatumia nguvu nyng kumtuliza mwenzio akili yke yote ipo hko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hii ni kweli mkuu yani ukiwa mwehuuu ndo safiUkiwa mwehu ndio utaenda nao sawa,tatizo lako unajifanya baba paroko
Tecno sio Simu[emoji23]
Mm yashanikuta hya so najua nnachokiongea!Yani mkuu sijui ni kwann yani mtt unamtreat kama princess lakini waapi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Exhibit neediness maana yke nn?Women don't hate "nice guys", they just don't like people who are boring and exhibit neediness
Unakutana na visichana vilivyovunja ungo hivi karibuni wanawake hatuko hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks missing you tooMiss you though!!
Kwani yahusu nini mamy?? sijaelewa mwenzio sijui ni u slow learner wangu...!
cc Smart911