Hivi humu ni Home of great thinkers au...?

Tukumbuke pia sasa hivi kuna changamoto kubwa ya watu wengi kuwa na magonjwa ya akili.

Yaani ni vichaa ila vya kwao havijafikia viwango vya kuvaa nguo chafu na kuokota chakula na makopo majalalani.

Sasa hivi kuna vichaa wengi wanauramba, na kujiremba huwezi kuwatambua kuwa zimefyatuka kwa kumtazama tu.

Utakuja kujua zimefyatuka kwa kuwasikia wakitoa upupu kwenye vinywa vyao au upupu wa matusi na maneno machafu kupitia maandishi yao hapa JF na kwingineko.
 
Tukumbuke pia sasa hivi kuna changamoto kubwa ya watu wengi kuwa na magonjwa ya akili. Yaani ni vichaa ila vya kwao havijafikia viwango vya kuvaa nguo chafu na kuokota chakula na makopo majalalani. Sasa hivi kuna vichaa wengi wanauramba, na kujiremba huwezi kuwatambua kuwa zimefyatuka kwa kumtazama tu.
Utakuja kujua zimefyatuka kwa kuwasikia wakitoa upupu kwenye vinywa vyao au upupu wa matusi na maneno machafu kupitia maandishi yao hapa JF na kwingineko.
Sina la kuongeza mkuu

Umemaliza kabisa

Shukrani Kwa mchango wako
 
Sana tu, kuna mambo ya ajabu mho humu....hywezi kuamini. Uswahili ninaouona humu si wa nchi hii, halafu waswahili wenyewe wako mbele sana kuwasingizia na kuwasema watu wa maeneo ya pwani.
Shukrani Sana mkuu Kwa mchango wako

Pamoja sana
 
Umeona sasa umewakilisha kundi kubwa la watu kwenye dini yenu.

Wewe mwenyewe kwenye mada yako umekiri kuna mambo watu hatuyaelewi halafu kufafanua hapo umeshindwa.
Ndio haya mambo ya uelewa yanapohusishwa na huu uzi. Kwa nini usianzishe uzi maalum wenye hilo swala? Huoni kama mada itabadilika juu ya kinachoongelewa katika huu uzi?
 
Back
Top Bottom