Hivi kuna mtu alishapata mchumba/mke/mme humu JF au ni kuzuga tu

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Hello MMU.The Love Connect ndo jukwaa kwa ajili ya kutafuta wapenzi/girlfriend Ila najaribu kujiuliza kama kweli kuna mtu alishawahi kubahatika kupata Girlfriend/Boyfriend hapa JF kupitia JF.

Sio tu Girlfriend/Boyfriend tuseme pia na kumpata mwenza yaani mke/mme ambao labda mpaka walifunga ndoa. Kama yupo aseme Kama relationship yao ili last au ilipotelea mawinguni ili nishawishike na mimi nione kama its real kweli.

Au huwa watu wanaitumia for Fun tu and not for starting relationships. Au JF wote walishajitosheleza tayari wana majiko na wengine wana family tayari coz maybe wanawake na wanaume wa humu watakuwa maybe ready for steady relationships
 
Kwahiyo unafikiri humu tumo mizimu au..? Mbona zipo couple mi naijua moja tu ya the bold na mchuchu wake yule bi nifah..

Mi ndo hivyo kila siku najitahidi kuwatongoza lkn wananiumia kamba ipo siku nikisala nitaroga watu humu mpk wajikojolee!.. haiwezekani kila siku nahangaika kutongoza wanakataa ipo siku patachimbika humu mods hawatalala yani naroga kila manzi anafungua Uzi mfululizo bila kuchoka!..
 
Ina maana Wote wamegoma
 
Mi kuna mmoja humu huwa namgegeda ila kwa heshima yake naomba niihifadhi sirini Id yake maana ndio tulivokubaliana ivo kila mmoja awe msiri kwa mwenzake, ni ka story fulani hivi amazing ambako pia naomba nisikazungumzie sana
 
Hello MMU.The Love Connect ndo jukwaa kwa ajili ya kutafuta wapenzi/girlfriend Ila najaribu kujiuliza kama kweli kuna mtu alishawahi kubahatika kupata Girlfriend/Boyfriend hapa JF kupitia JF.

Sio tu Girlfriend/Boyfriend tuseme pia na kumpata mwenza yaani mke/mme ambao labda mpaka walifunga ndoa. Kama yupo aseme Kama relationship yao ili last au ilipotelea mawinguni ili nishawishike na mimi nione kama its real kweli.

Au huwa watu wanaitumia for Fun tu and not for starting relationships. Au JF wote walishajitosheleza tayari wana majiko na wengine wana family tayari coz maybe wanawake na wanaume wa humu watakuwa maybe ready for steady relationships
Mshana alimpata na akimsugua mpaka mizimu akaja kutibua kila kitu
 
Kwahiyo unafikiri humu tumo mizimu au..? Mbona zipo couple mi naijua moja tu ya the bold na mchuchu wake yule bi nifah..

Mi ndo hivyo kila siku najitahidi kuwatongoza lkn wananiumia kamba ipo siku nikisala nitaroga watu humu mpk wajikojolee!.. haiwezekani kila siku nahangaika kutongoza wanakataa ipo siku patachimbika humu mods hawatalala yani naroga kila manzi anafungua Uzi mfululizo bila kuchoka!..
Haaahaaa
 
Hahahahah wanaleta mambo za kiwaki hao. Sema kazia siasa mpaka kieleweke.
 
Wewe dogo nyege zitakuuwa .
Kila Dada ulikuwa unamparamia halafu hata mwezi hujamaliza unataka dem .

Humu kuna mama zako hakuna mademu
 
Back
Top Bottom