Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu ameingia deni la taifa linaongezeka kwa kasi ya kutisha! hadi mwezi wa 9 mwaka jana lilikuwa limeongezeka kwa 18% kutoka tril 40 to tril 51, na ukopaji bado unaendelea
Tangu aingie ajira zimefutika, hata za walimu wa sayansi na madaktari wa binadamu
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha ya watu ni hofu mtindo mmoja, hasa wapinzani
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie bandari imedoda na idadi ya watalii imeshuka
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima ndo yanazidi kushika kasi
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,
JE HUKU NDO KUINYOOSHA NCHI TUNAKOAMBIWA? AU ILIKUWA CHUKI TU ?