Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

Tangu aingie biashara nyingi zimefungwa,watu hawana pesa, mahoteli yamefungwa au kubadilishwa kuwa makazi
Tangu ameingia deni la taifa linaongezeka kwa kasi ya kutisha! hadi mwezi wa 9 mwaka jana lilikuwa limeongezeka kwa 18% kutoka tril 40 to tril 51, na ukopaji bado unaendelea
Tangu aingie ajira zimefutika, hata za walimu wa sayansi na madaktari wa binadamu
Tangu ameingia watu wanabomolewa tu makazi yao,
Tangu ameingia maisha yamekuwa ya shida sana,
Tangu ameingia wafanyakazi hawajapandishwa madaraja wala kulipwa stahiki zao,
Tangu ameingia maisha ya watu ni hofu mtindo mmoja, hasa wapinzani
Tangu aingie barabara na madaraja hayajengwi tena
Tangu aingie hakuna maabara wala mashule yanayojengwa tena
Tangu aingie bandari imedoda na idadi ya watalii imeshuka
Tangu aingie mapambano ya wafugaji na wakulima ndo yanazidi kushika kasi
Tangu ameingia wizi na ajali zimeongezeka sana pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya,

JE HUKU NDO KUINYOOSHA NCHI TUNAKOAMBIWA? AU ILIKUWA CHUKI TU ?

ha ha ha
 
Huyu jamaa nahisi ni agent wa taifa flani aliyetumwa kuivuruga nchi Haiwezekani hata kidogo mtu mwenye uchungu na nchi yake akaivuruga nchi kiasi hiki, haeleweki ni kitu gani anataka kifanyike.
Na hapa ana hasira Sana na sisi wakosoaji wake sema tu hawezi kutupata.
Tungekuwa facebook sasa hivi Siku nyingi tungelikuwa tunaoza kaburini tu aisee huyu jamaa ni noma, najua ma agent wake wanatutamani Sana humu ila uwezo wa kutupata ndo hawana ndo maana wakaona isiwe taabu ngoja tumkamate melo ili atusaidie kuwapata hawa pimbi.
Eeh mola mwokoe melo na mikono ya chuma.
Sera yenu ilikuwa ni system mbovu ya Ccm.
Ndio anabadirisha
 
Niongeze moja hapo umelisahau, tangu aingie bavicha kazi yao ni matusi tu kwa serikali
Mhhhh,Niongeze moja hapo..........
Ukweli ccm hawana nia nzuri kututoa hapa tulipo,isipokuwa kila mtu abebe msalaba wake.
 
sababu zangu ni za kipuuz ila nimetoa hoja bishana kwa hoja sio mihemuko jibu hoja kwa hoja.

Tusibishane kwa mihemuko ya matapeli na wezi wa kasikazini wachache wenye masilah yao binafsi wanao ona yamebanwa wanaanza kuwaminisha umma vitu vya hovyo bila kuweka data mezan.
Nchi ni kubwa kaskazini ni sehemu ndogo yenye Mafanikio ya kweli
 
Maisha magumu watu wamefundishwa kaka mkubwa huo ndio wimbo wao. Ila kwa mimi tangu nizaliwe sijawahi mtu anasema maisha yamekuwa marahisi. Hii ni hali ya duniani kote . Je kule ujerumani na marekani huko nako rais anahusika. Maisha ni magumu maana zile bia na nyama choma za bure zimekatishwa heshima inarudi
Acha hizo,Marekani tangu lini wakasema ukweli,Donald akiwa Rais hawezi yumbisha nchi,Kila kitu atakikuta oval office
 
Back
Top Bottom