Kuna mawili, moja katika argument ya mimi na yule bwana hakuna hata sehemu moja niliyomwambia kwamba yule bibi aliwahi kuwa gf wangu. So sina uhakika kama alinijia juu kwa maana ya kujua mahusiano ya mimi na huyo bibi ya zamani au ni nini sababu.Mkuu,
Kwenye story yako wewe unaonyesha udhaifu kuwa ulibreak na huyo msichana lakini bado una kisebusebu!
Mwache mwenzio aendelee na maisha yake bana, mbona unataka kumharibia binti wa watu?...kama hutakiwi kubali mkuu!
Jitahidi kuji-distance na ex wako, especially kama kila mtu ameshaanza maisha yake...mpaka hapo jua kuwa yule dada ana maswali ya kujibu kwa mtu wake wa sasa!
Mimi mwenyewe nikihisi maongezi au chatting kati ya wife na ex wake, i must go mad, coz wakikubaliana kitu ni lazima wakitimize. Jamaa atataka kumwonyesha mke wangu kuwa ana mauwezo, na atajitahidi kum-allure hata kwa kukopa Saccos na kuingia madeni!...huh!
Nilichukizwa na matusi aliyonitukana na ndio maana nikamwambia huyu bibi just tell him akue though baadae nilimwambia tena asimwambie. Then nikamwambia huyo bf wake ameniblock kwenye fb na nikamwambia yule bibi asini unblock ili kama hilo ni tatizo lisiendeleeMhhh kwa kweli kuna ka insecure fulani kanakupata, hasa ukizingatia palikuwa na mapenzi, na watu wengine kwa kweli huwa hawaachani moja kwa moja, ila cha muhimu ni kujiamini tu na kumwamini mwenzako kwamba hataweza kukubadilikia,na ww hukuwa na haja ya kumtafuta tena kwa simu kumweleza, hapo inaonyesha kama ulichukizwa au na ww bado unamtaka mpenzi wako
tawapa ka stori kamoja ili niweke clear haka ka thread,
"Kwenye account yangu ya fb kuna msichana ambaye basically aliwahi kuwa gf wangu, yes she was my first love and probably the best love ever for me. Sasa baada ya kubreak yapata miaka kadhaa sasa tumebaki kuwa marafiki na huwa tunawasiliana mara kadhaa kutakiana hali. Kila mmoja ameendelea na maisha yake na when we talk ni salamu tu then basi, maana kwa sasa yuko nje ya nchi kwa masomo.
Sasa for a while nimekuwa nahisi the current bf wake anaingia kwenye fb account yake so kuna wakati anaweza kuwa online tukachat lakini najua this is not the one. Sasa friday nikiwa online naye akaingia, mi nilipomuona nikampa hi then nikamuwish nice weekend kwa wakati huo sikujua ni nani kama ni yeye au bf wake (huyo bf wake ni mnigeria)
Basi from nowhere yule jamaa akaanza kunishushia matusi makali makali, dah kiukweli i tried to be a gentleman ila nikajiuliza where the hell all those came from! I broke with the girl kwa zaidi ya miaka minne and theres nothing going on maana hata kuongea tunaweza kuongea baada ya miezi kadhaa so i dont know what was the reason.
Baadae jamaa akaniblock huko kwenye fb ya gf wake mi nikasema hamna taabu, ila jioni nikampigia huyo gf wake nikamwambia tu one thing "Mwambie huyo bf wako akue" nikatania pia, "if he doesnt i will take u back coz i know i can. Ka story kanaishia hapa.
Sasa swala la msingi hapa ni kuwa, what do you feel mpenzi wako anapoendelea kuongea na ex?
Mkuu,Kuna mawili, moja katika argument ya mimi na yule bwana hakuna hata sehemu moja niliyomwambia kwamba yule bibi aliwahi kuwa gf wangu. So sina uhakika kama alinijia juu kwa maana ya kujua mahusiano ya mimi na huyo bibi ya zamani au ni nini sababu.
La pili ni kwamba unapobreak na mtu haimaanishi mnakuwa maadui hata kusalimiana tena hakupo, mi siamini katika hilo
tawapa ka stori kamoja ili niweke clear haka ka thread,
"Kwenye account yangu ya fb kuna msichana ambaye basically aliwahi kuwa gf wangu, yes she was my first love and probably the best love ever for me. Sasa baada ya kubreak yapata miaka kadhaa sasa tumebaki kuwa marafiki na huwa tunawasiliana mara kadhaa kutakiana hali. Kila mmoja ameendelea na maisha yake na when we talk ni salamu tu then basi, maana kwa sasa yuko nje ya nchi kwa masomo.
Sasa for a while nimekuwa nahisi the current bf wake anaingia kwenye fb account yake so kuna wakati anaweza kuwa online tukachat lakini najua this is not the one. Sasa friday nikiwa online naye akaingia, mi nilipomuona nikampa hi then nikamuwish nice weekend kwa wakati huo sikujua ni nani kama ni yeye au bf wake (huyo bf wake ni mnigeria)
Basi from nowhere yule jamaa akaanza kunishushia matusi makali makali, dah kiukweli i tried to be a gentleman ila nikajiuliza where the hell all those came from! I broke with the girl kwa zaidi ya miaka minne and theres nothing going on maana hata kuongea tunaweza kuongea baada ya miezi kadhaa so i dont know what was the reason.
Baadae jamaa akaniblock huko kwenye fb ya gf wake mi nikasema hamna taabu, ila jioni nikampigia huyo gf wake nikamwambia tu one thing "Mwambie huyo bf wako akue" nikatania pia, "if he doesnt i will take u back coz i know i can. Ka story kanaishia hapa.
Sasa swala la msingi hapa ni kuwa, what do you feel mpenzi wako anapoendelea kuongea na ex?
n.
ila jioni nikampigia huyo gf wake nikamwambia tu one thing "Mwambie huyo bf wako akue" nikatania pia, "if he doesnt i will take u back coz i know i can. Ka story kanaishia hapa.
Kwa kweli, ukinikuta mie na ex tunaongea ongea, umeliwa pakubwa sana.
Hakunaga kuachana, ni kupumzika tu. Mkikutana sehemu kondyusivu:A S 13: mnakumbushia.
Hivi maximo, hujui mbwa akiichezea ngozi anayoilalia mwishowe huila?:violin:
Hakunaga kuachana, ni kupumzika tu. Mkikutana sehemu kondyusivu:A S 13: mnakumbushia.
If you know that no matter what you do they will still communicate, why bother tryin to find out if they still do? I have my philosophy in love;Hahahahaaa....unfortunately many people still do communicate with their exes. That's why I don't ever buy the nonsense if I'm told they don't.
And remember, they say old flames are easy to ignite. But then again if you also have moved on and if you know she is in a relationship why try to communicate?
Would you be happy if your current girlfriend communicates with her ex boyfriend(s)?