Hivi hizi ni 'stress' gani?

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,417
Nime - experience maisha yangu yote nikiwa na stress hata kama ni nzito kiasi gani hatua ninazochukua huwa zinanishangaza baada ya stress kuisha;

1. Huwa nalia weee huku naomba mungu aniepushe na kikombe hicho kwa wakati huo,
2 . Baada ya kuchoka kulia nafanya usafi vizuri ndani ya nyumba hasa chumba changu kisha nabadilisha mashuka yote kitandani naweka chumba katika hali ua usafi zaidi,
3 . Kisha najifungia chumbani hata kama ni siku nzima nakunywa wine weee lazima niweke kwenye dressing table au kinywaji kingine ambacho ni friendly kwangu huku machozi yanaendelea kububujika mpaka napitiwa usingizi, next day nakuwa na mawazo mapya.

Ila kila nikipata stress hatua zinazojirudia ndio hizo.

Wenzangu mkiwa na stress mnafanyaje?πŸ™
 
Hapo ungemalizia na good sex ingekuwa poa zaidi.
 
Halafu ujue nakutafuta siku nyingi weweπŸ˜‰πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…