Hivi hisia za wanawake kimapenzi zipo upande gani wa mwili?

msemakweli10

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
229
46
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu na bado sijapata jibu.

Mwanamke humtamani mwanaume. Hisia zao zipo wapi?

Kwa nini mwanamke haezi kumtamkia mwanaume kuwa anamtaka?
 
Kwani wew ulitaka ujue alafu iweje?? Au na wew pia unataka uje na utafiti
 
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu na bado sijapata jibu.

Mwanamke humtamani mwanaume. Hisia zao zipo wapi?

Kwa nini mwanamke haezi kumtamkia mwanaume kuwa anamtaka?


bold: ulikuwa unazitafutia wapi? mbona wanazo wenyewe na huwa nazo kila siku popote walipo. kama huamini, mkamate msichana mmoja then msearch. utaziona tu.

red: pole mkuu. nilishawahi tamkiwa ila nilikimbiaaaa... sijui mi ni mshamba!

hahahahahaaaaaaaa
 
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu na bado sijapata jibu.

Mwanamke humtamani mwanaume. Hisia zao zipo wapi?

Kwa nini mwanamke haezi kumtamkia mwanaume kuwa anamtaka?

Hisia za kutaka kufanya mapenzi huamshwa/huchochewa kutoka sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu (awe ni mwanaume au mwanamke); Hivyo hutofautiana sehemu zinakopatikana zaidi.

Mwanamke kumtamani mwanaume, na hata mwanaume kumtamani mwanamke; huweza kutokana na kuvutiwa na mtu huyo, au itokane na kuzidiwa tu na tamaa za mwili.

Mwanamke kutoweza kumtamkia mwanaume kuwa anamtaka ni athari za tamaduni zetu ambazo tukilazimisha zibadilike inabidi tuwe na majibu ya matokeo yake. Hata hivyo, wapo wanawake wanaowatamkia wanaume kuwa wanawataka, ila hapa nimezungumzia wengi.

Mwisho: Nimepata shida ktk kuoanisha uwasilishaji wa maswali yako na kitu/jambo mahsusi unalohitaji kujua.
 
Hisia kwa kiingereza ni feelings, sasa unamaanisha feelings au hamu ya kufanya ngono??
 
Kuona
kugusa
kunusa
ya mwisho ni wachache waliyo nayo. Sehemu wanaume waogapo mtoni wakionekana na wwake na kucheza ngoma/viduku wakigusana na wwake, wwake wanashindwa kuvumilia hisia. kuoga nje na kwenda kwenye kigodoro inaweza kuwa mbadala kwa mjini.
 
Hisia za m/ke zipo kwenye pochi ya m/me;

[Birdman]
Crib made her tap out,
Sauna made her tap out,
Jet made her tap out,
Pilot with the map out.
Million on the diamonds, million on the kitchen,
millions on the Maybach, glass top ceiling.
Million dollar pussy, sleeping on Versace, sleeping on
the Fendi, sleeping on Cavalli,
Married to the money,
Millions in the bank.
 
Back
Top Bottom