CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 467
Mwinyi ni mzanzibar kwasababu aliweza kuwa raisi wa zanzibar na Mtanganyika hawezi kuwa raisi wa zanzibar.
Katika hali isyokuwa ya kawaida leo Kikwete amekwepa kabisa kuzungumzia swala zito la zanzibar kuvunja katiba ya JMT. Huu ulegevu na kuficha ficha kuambina ukweli ndio muungano unaotetewa? Km sehemu moja ya muungano haishimu katiba ya muliyokubaliana kuna muungano tena hapo?
Karibu serikali mbili, Two government system reformed.
Bado unapendwa sana.