Hivi hili suala kina Mama huwa mnakutana mahali na mnakubaliana kwa pamoja?

Hili ni janga la Taifa aisee mtu unaamuwa kuwa mstaarabu ye haujuwi ukiamua kupiga matukio nje atalia na kusaga meno.
 
Naomba nitumie lugha mchanganyiko.

Sex is food, for one to prepare food need recipe and ingredients needed.
It can be one type of food but give different dishes.
Eg. from rice one can have fried rice, steamed rice, pilau, biriani, coconut steamed rice etc.

From wheat flour one can have chapati, maandazi, half cake, sponge cake etc.

Ubunifu kwenye kuandaa mapishi mbalimbali unajitajika sana ili mlaji afurahie chakula na kuacha kumbukumbu au alama kwa mlaji.

Usishangae mtu anatoka Bunju anafata nyama ya kitimoto segerea kwa kazimoto. Au mtu anatoka Hong ila mboto anafata mishkaki bahari beach.... utajiuliza huko kote hakuna hivyo vyakula...!!!? Anafata ladha, namna chakula kinaandaliwa, huduma n.k.

Vivyo hivyo sex, kama sex ikiwa kama mchuzi uliotupiwa vitunguu nyanya na mafuta tuu kisha ukamiminiwa maji ili kila mtu ashibe sio mradi ale basi jiandae kususiwa chakula au hata mtu kukwambia kashiba ilhali ana njaa.
Hata kachumbari yenye kitunguu na nyanya pekee ikiandaliwa vyema kwa kuwekwa ndimu au limao hufanya mlaji ajirambe kwa ladha tamu.

Sex is not just ejaculation, is not only intercourse, it’s more than cuddling, sweet nothing words, etc.

K Matata.
Mh! Em konkludi kWa lugha nyepesi basi...
So wapendekeza Wanaume WAfanyeje.!?
 
Aahahahahaha

Sio mapendekezo yangu, mapenzi ni ya watu wawili. Yapasa mpeane msibaniane wala kufanyiana choyo wala kukomoana wala kuzira.

Na wakati mnapeana mnaweka vionjo kunogesha Mahaba yawe Matata na matamu.

Wote, mke kwa mume mpeane, muwezane bila kutegeana.
 
Tafuta hobby bro.

Ukiona mtu kaoa usidhani ana uhakika wa sex kama mnavyodanganyana...in fact wanaume waliooa wengi hawapati sex kwa wake zao sasa utachagua uwe na hobby nyingi au uwe na mchepuko...

Kwenye ndoa kuna
1.Siku saba za hedhi
2.week moja ya uchovu tuseme siku 4 mke kachoka na siku 4 mume kachoka hivyo No sex
3.kuna siku 6 ambazo siku 4 za mume yupo na stress za kazi na siku mbili mke ana mood swings zake.No mood for sex

Jumla kuna siku 21 ambazo sex kwenu itakuwa ni kama haipo sasa ukikuta kuna mtoto basi ndo kabisaaaaaa sahau...

Hayupo mwanamke atakayekuwaza wewe aache kuwaza mwanae,very rare.

Kiujumla concept kuwa na wake wengi ina ukweli flani ambao tunaupinga lakini upo pale..Mwanaume anapenda ngono zaidi ya mwanamke na almost impossible kupata kutoshelezwa na mwanamke mmoja hivyo ni compensation tu ifanyike ili ndoa iwe salama.Mwanamke hajaumbwa kupenda ngononkwa kiwango hicho na sio kosa lake kama ambavyo sio kosa la mwanaume kupenda chini.

Nini dawa

Kuwa na hobby tu

1.season kali inafuatilia
2.mpira unaangalia
3.kitabu flani unasoma
4.gym membership unayo.
5.Beach boy
6.live band kila j.mosi
7.Biashara zako zenyewe nazo inabidi ziwe hobby tu.

Otherwise uwe na mchepuko ila asigekupa magundu tu na kukulisha uchawi ukasahau familia.

Note:Ambao hamjaoa USIOE sababu unapenda ngono hata huyo mwanamke unayelala nae kwa week mara 6 kipindi cha uchumba ukimuoa ujue kbs ni ‘mara 3 katika week ndo common zaidi,Kuna mengi ya kufanya kwenye ndoa.
Umemaliza.
 
Huu utaratibu wa kutokujali hisia za wenza wenu.. Sijui niseme kujifanya kana kwamba hamna hisia au hamu ya wapenzi wenu.

Yani bila mume kuanza kuonyesha uhitaji wa kuto***na basi nanyi mnauchuna mazima. Na mnaweza gonga hata wiki. Mna mute tu.

Hivi hili mnakutana na kupanga wapi!?

Tukiamua kujibu mapigo hakika mtajuta..

NAWAPA TAHADHARI TU.
Ukiona hajali, ujue humpagi vitu vya ukweli. Mwanamke anayefikishwa kuliko na kupendwa anauwezo wa kutoroka kazin asisubiri hata mfike home akakubaka.
Ukiona tu hajali lolote lazima either show yako mbovu au ushampiga matukio afu unategemea ana moyo wa chuma akuone kawaida Kama zaman
 
Tafuta hobby bro.

Ukiona mtu kaoa usidhani ana uhakika wa sex kama mnavyodanganyana...in fact wanaume waliooa wengi hawapati sex kwa wake zao sasa utachagua uwe na hobby nyingi au uwe na mchepuko...

Kwenye ndoa kuna
1.Siku saba za hedhi
2.week moja ya uchovu tuseme siku 4 mke kachoka na siku 4 mume kachoka hivyo No sex
3.kuna siku 6 ambazo siku 4 za mume yupo na stress za kazi na siku mbili mke ana mood swings zake.No mood for sex

Jumla kuna siku 21 ambazo sex kwenu itakuwa ni kama haipo sasa ukikuta kuna mtoto basi ndo kabisaaaaaa sahau...

Hayupo mwanamke atakayekuwaza wewe aache kuwaza mwanae,very rare.

Kiujumla concept kuwa na wake wengi ina ukweli flani ambao tunaupinga lakini upo pale..Mwanaume anapenda ngono zaidi ya mwanamke na almost impossible kupata kutoshelezwa na mwanamke mmoja hivyo ni compensation tu ifanyike ili ndoa iwe salama.Mwanamke hajaumbwa kupenda ngononkwa kiwango hicho na sio kosa lake kama ambavyo sio kosa la mwanaume kupenda chini.

Nini dawa

Kuwa na hobby tu

1.season kali inafuatilia
2.mpira unaangalia
3.kitabu flani unasoma
4.gym membership unayo.
5.Beach boy
6.live band kila j.mosi
7.Biashara zako zenyewe nazo inabidi ziwe hobby tu.

Otherwise uwe na mchepuko ila asigekupa magundu tu na kukulisha uchawi ukasahau familia.

Note:Ambao hamjaoa USIOE sababu unapenda ngono hata huyo mwanamke unayelala nae kwa week mara 6 kipindi cha uchumba ukimuoa ujue kbs ni ‘mara 3 katika week ndo common zaidi,Kuna mengi ya kufanya kwenye ndoa.
Faza nimekufuatilia kwa umakiiini hapo juu ulipoanza, unakuja kushauri habari za kuwa na Hobby tena! Sasa huyo umeoa au unaishi na mshikaji tu gheto?
 
Huu utaratibu wa kutokujali hisia za wenza wenu.. Sijui niseme kujifanya kana kwamba hamna hisia au hamu ya wapenzi wenu.

Yani bila mume kuanza kuonyesha uhitaji wa kuto***na basi nanyi mnauchuna mazima. Na mnaweza gonga hata wiki. Mna mute tu.

Hivi hili mnakutana na kupanga wapi!?

Tukiamua kujibu mapigo hakika mtajuta..

NAWAPA TAHADHARI TU.
Ni kina mama wangapi umekuta hilo Swala ni uniform kwao? Na hayo mapigo mnataka kujibu mko wangapi?

Hence unatumia nafsi ya pili wingi katika post yako.
 
Mapenzi si mashindano, Fanya ile kitu iko kwa uwezo wako.. Kama pisi ni Malaya na hairidhiki na mboo moja ataendelea kuwa Malaya tu hata akipata mboo 15
 
Faza nimekufuatilia kwa umakiiini hapo juu ulipoanza, unakuja kushauri habari za kuwa na Hobby tena! Sasa huyo umeoa au unaishi na mshikaji tu gheto?
Ndugu

Sasa mazingira hayaruhusu kupata good sex na sababu ni za msingi...

Utafanyaje mkuu zaidi ya kuhamisha Akili yko kutoka kwenye sex sana kwenda kwenye Mambo mengine,Nipe wewe
Mbinu
 
Tafuta hobby bro.

Ukiona mtu kaoa usidhani ana uhakika wa sex kama mnavyodanganyana...in fact wanaume waliooa wengi hawapati sex kwa wake zao sasa utachagua uwe na hobby nyingi au uwe na mchepuko...

Kwenye ndoa kuna
1.Siku saba za hedhi
2.week moja ya uchovu tuseme siku 4 mke kachoka na siku 4 mume kachoka hivyo No sex
3.kuna siku 6 ambazo siku 4 za mume yupo na stress za kazi na siku mbili mke ana mood swings zake.No mood for sex

Jumla kuna siku 21 ambazo sex kwenu itakuwa ni kama haipo sasa ukikuta kuna mtoto basi ndo kabisaaaaaa sahau...

Hayupo mwanamke atakayekuwaza wewe aache kuwaza mwanae,very rare.

Kiujumla concept kuwa na wake wengi ina ukweli flani ambao tunaupinga lakini upo pale..Mwanaume anapenda ngono zaidi ya mwanamke na almost impossible kupata kutoshelezwa na mwanamke mmoja hivyo ni compensation tu ifanyike ili ndoa iwe salama.Mwanamke hajaumbwa kupenda ngononkwa kiwango hicho na sio kosa lake kama ambavyo sio kosa la mwanaume kupenda chini.

Nini dawa

Kuwa na hobby tu

1.season kali inafuatilia
2.mpira unaangalia
3.kitabu flani unasoma
4.gym membership unayo.
5.Beach boy
6.live band kila j.mosi
7.Biashara zako zenyewe nazo inabidi ziwe hobby tu.

Otherwise uwe na mchepuko ila asigekupa magundu tu na kukulisha uchawi ukasahau familia.

Note:Ambao hamjaoa USIOE sababu unapenda ngono hata huyo mwanamke unayelala nae kwa week mara 6 kipindi cha uchumba ukimuoa ujue kbs ni ‘mara 3 katika week ndo common zaidi,Kuna mengi ya kufanya kwenye ndoa.
man,asiyekuelewa basi.....umeongea machache lkn yamejitosheleza
 
Takwimu zinaonyesha mapigo ya mwanamke kwenda kwa mwanaume yanauma zaidi kuliko. Ndio maana kuna kesi nyingi za wanaume kuua wake sio wake kuua wanaume
Wewe wanawake bado hujawajua kiundani.... they leave no evidence on the crime scene.
 
Huu utaratibu wa kutokujali hisia za wenza wenu. Sijui niseme kujifanya kana kwamba hamna hisia au hamu ya wapenzi wenu.

Yaani bila mume kuanza kuonyesha uhitaji wa tendo basi nanyi mnauchuna mazima. Na mnaweza gonga hata wiki. Mna mute tu.

Hivi hili mnakutana na kupanga wapi?

Tukiamua kujibu mapigo hakika mtajuta.

NAWAPA TAHADHARI TU.
Kuoa ni hasara kwa mwanaume na faida kwa mwanamke.

Kipindi cha uchumba mwanamke anatumia ngono kama hongo kwa mwanaume ili aolewe. Ndoa inampatia mwanamke life security pamoja na kuendana na matarajio ya jamii....baada ya kuolewa anatumia pussy yake kwa mambo mengine yenye faida binafsi kwake.
 
Back
Top Bottom