Hivi hili la bungeni ndio LUDOVICK UTTOH yeye amepona? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili la bungeni ndio LUDOVICK UTTOH yeye amepona?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOMA, Apr 29, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wakuu mara baada ya kutoka kwa ripoti CAG na kuonyesha uozo na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma wabunge,wasomi wanasiasa na wananchi mbalimbali wamempongeza sana Ludovick Uttoh mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali kwa kazi nzuri sasa je? bado CAG anatakiwa kuwajibika dhidi ya ripoti ya katibu mkuu wa Nishati na madini David Jairo ambayo ilimsafisha huku kukiwa na ubadhilifu wa waziwazi?
  Mapendeko yangu;
  ni vema pia hili la kubadilisha na kuondoa viongozi wabadhilifu pia likamhusisha Ludovick Uttoh dhidi ya ripoti yake dhidi ya David Jairo, wewe una maoni gani?
   
 2. s

  sugi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,354
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  huo ni upepo kisiasa tu
   
 3. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uttoh kavumbua mengi yaliyo jificha heading mim nilijua nakuja kukutana na mada ya baada kuawataja hawa mawaziri wezi watamuacha salama any way hamana mwanadam mkamilifu lkin kwa upepo uliopo wa sasa hivi ni kazi yake Uttoh
  nakuheshm sna sir Uttoh
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,020
  Likes Received: 5,190
  Trophy Points: 280
  kosa la utto kwenye ripoti ya jairo liko wapi?
  Maana yeye aliagizwa achunguze unajua walimpa wigo upi wa ukaguzi?
   
Loading...