Hivi hii verification code naitumiaje?

KISUNZU YP

Senior Member
Jul 30, 2016
114
37
Habari ndugu jamaa na marafiki nimetumiwa ujumbe na Hawa jamaa naomba kujua vitu fulani.

Hivi hii verification code naitumiaje?
Na hii Hangout ni forum gani au ni email ya kawaida?
 
HangOut ni IM ya Google kupiti GMail

ila
fanya ufanyavyo, wakitaka hela, wape tu
 
Acha ushamba unatuma hadi details za interview.

We msomi gan wewe?

Mnatuabisha sana yaan suala la privacy hulijui?

Verification code na yenyewe hujui?

Harafu kwa taarifa yako hakuna interview ya hang out wote wanaofanyia interview hangout asilimia mia huwa matapeli (scammers)

Uwe makini sana

Maana unaonekana mgeni hivi vitu utalizwa mda si mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom