Hivi hii tabia vijana wame itolea wapi

Wamezitoa kwa wazazi wao
 
Attachments

  • 1787811039194.jpg
    43.3 KB · Views: 3
Wakati mwingine wazazi wanawalea watoto wao vizuri tu, lakini watoto wanaigana wanakutana na wenzao.

Kumbuka anayeiga siku zote humzidi yule anayemuiga.
sahihi,vitu kama hivyo huwa wanaviona kupitia social media kutoka ulaya na marekani kisha wanakopi hapo mzazi ni ngumu kumzuia asivione japo bado mzazi anawajibika kumfundisha mtoto ajue jambo lipi ni zuri na lipi ni baya
 
Kijana wangu huwa namwambia asiwe mwepesi wa kuiga kitu/jambo bila kukipima mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…