Hivi hii taarifa toka itv ni ya kweli ama?

Hivi hii taarifa toka itv ni ya kweli ama?

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,542
Reaction score
7,377
Juzi baada ya ule mdahalo wa ubunge vijana pale movenpic kulikuwa na taarifa ya habari ambapo rais anayemaliza muda wake abeid karume alitangaza na kufanya sherehe huko zenj ya kufuta kwa ada katika shule zote za serikali(sijajua hii ni hadi vyuo au la),ndio kusema kwa sasa huko zenj elimu ni bure...nimejaribu kusikiliza vyombo vya habari jana na leo,sijasikia lolote kuhusu hii kitu, so mwenye undani wa hii kitu hembu atujuze...!!
 
HICHO KITU HAKIWEZEKANI, INAMAANA HUU WIMBO WA "SISI NI MASKINI" HUJAUELEWA VIZURI, PAMOJA NA CCM KUTUZOEZA?:becky:
 
Ccm ikiondoka ndio vijana wetu watasoma bure.

E bana wkeli nakuunga mkono.
unayosema yanaweza kuwa kweli kabisa,kwanini wanakataa wakati wanapewa data full?
Hata hivyo hakutakuwa na kampeni za mabilioni ya fedha kama ya sasa.
vyama viko 7x5,000,000,000=35 trillion
 
Juzi baada ya ule mdahalo wa ubunge vijana pale movenpic kulikuwa na taarifa ya habari ambapo rais anayemaliza muda wake abeid karume alitangaza na kufanya sherehe huko zenj ya kufuta kwa ada katika shule zote za serikali(sijajua hii ni hadi vyuo au la),ndio kusema kwa sasa huko zenj elimu ni bure...nimejaribu kusikiliza vyombo vya habari jana na leo,sijasikia lolote kuhusu hii kitu, so mwenye undani wa hii kitu hembu atujuze...!!

Mimi binafsi sijasikia hili, nashindwa kuchangia maana mkuu authenticity ya story bado haijatukaa. Wadau mwenye confirmation!!
 
nijuavyo zanzibzr elimu bure zamani tu, tokea mwenyewe karume baba alipokuwepo

katikati mambo yakawa mazito ikawa wanachangia kiwango kidogo tu
 
unaweza kukuta kweli , ila labla wameogopa kuitangaza zaidi coz , itakinzana na ya jk, kuwa wanafunzi kusoma bule HAIWEZEKANI
 
Jamani mambo hayo!?

Muungano=Tanganyika + Zanzibar

Rais Muungano: Elimu bure haiwezekani....!

Rais Zanzibar: Tunafuta ada, elimu sasa itakuwa bure kwa kila mtoto wa mzanzibar.....!

It should be crazy some how, hivi jamani nani ni nani, na yupi ni nani juu ya hili, Mnanichanganya bkbisaaa.......:confused2:
 
jamani mambo hayo!?

muungano=tanganyika + zanzibar

rais muungano: elimu bure haiwezekani....!

rais zanzibar: tunafuta ada, elimu sasa itakuwa bure kwa kila mtoto wa mzanzibar.....!

it should be crazy some how, hivi jamani nani ni nani, na yupi ni nani juu ya hili, mnanichanganya bkbisaaa.......:confused2:

katika huu muungano wa nchi mbili hamna aliyemzidi mwenzake bali kila mtu anamajukumu yake ndani ya nchi yake!
 
katika huu muungano wa nchi mbili hamna aliyemzidi mwenzake bali kila mtu anamajukumu yake ndani ya nchi yake!

Majukumu katika muhimili mmoja ulio na mitazamo tofauti, ni nini hatima yake....! Wote wanawajibika katika chama, sera za chama na mtazamo wa chama. maana rais hafanyi kazi mwenyewe ila yeye katika chama. Sasa katika mgongano huu, chama wa wakubwa katika muhimili ninini mustakabali wa chama na sera zake? HEbu liangalie kwa upya tena and think Big.
 
Jamani Zanzibar mbona shule bure!, umeme bure!, maji bure! kinachofanyika ni michango. Mchango kwa shule za msingi ni shilingi 1,500 kwa temu, iliongezeka 300 kufikia 1800, nasikia waligoma!. Maji ni bure yanalipiwa na serikali ya Mapinduzi. Umeme pia ni bure, wanapewa sadaka na Jamuhuri ya Muungano, kwa Tanesco kuandika deni, serikali italipa!.
 
nijuavyo mimi zanzibar maji bure, ila umeme wananchi wanalipa(nnikiwemo mimi) na kuh elimu.............tunachangia kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari ila zaidi ya hapo......I mean elimu ya juu unalipa.........
 
Back
Top Bottom