Hivi hii serikali inajua maana ya kubana matumizi?

truewor

Member
Oct 16, 2015
45
51
Nimekua nikifatilia sana slogan ya Mh tangu alipo ingia madarakani kua yeye ni mbana matumizi
Hebu tuangalie mfano mdogo tu ufuatao
Hivi juzi Mkuu alienda Mwanza kwa NDEGE
Then magari yakamfata
Alafu akaenda Rwanda kwa GARI
Kisha akarudi Dar kwa NDEGE
Means Ndege ilimfwata Rwanda
Alafu MAGARI yakarudi tena Tz
#TunapunguzaMatumizi
 
Asante mkuu. Hebu tuangalie Budget ya 2014/2015 na ya 2015/2016. Kazi kubwa iko kudhibiti matumizi ovyo.
 
Nimekua nikifatilia sana slogan ya Mh tangu alipo ingia madarakani kua yeye ni mbana matumizi
Hebu tuangalie mfano mdogo tu ufuatao
Hivi juzi Mkuu alienda Mwanza kwa NDEGE
Then magari yakamfata
Alafu akaenda Rwanda kwa GARI
Kisha akarudi Dar kwa NDEGE
Means Ndege ilimfwata Rwanda
Alafu MAGARI yakarudi tena Tz
#TunapunguzaMatumizi
Umewaza mbali sana mm mwenyewe Najaribu kuangalia yeye alienda kwa magar Ndege ikaenda tupu kumfata makubwa haya . Mungu ibariki nnchi yangu Tanzania
 
Mwache JPJM amalize walau mwaka mmoja hala tulinganishe mwaka wake wa kwanza na mwaka wa kwanza wa JK ndo tujue nani amefanikiwa kubana matumizi zaidi kuliko mwingine.

Ni mapema sana kumpima JPJM sasa hivi; hajamaliza hata nusu mwaka halafu unataka tumpime kwa trip moja!!

Kuwa na subira!
 
sioni shida zamani zilikua zinafanyika kama hizo mara 10 kwa mwezi angalau hiyo...
 
Mwache JPJM amalize walau mwaka mmoja hala tulinganishe mwaka wake wa kwanza na mwaka wa kwanza wa JK ndo tujue nani amefanikiwa kubana matumizi zaidi kuliko mwingine.

Ni mapema sana kumpima JPJM sasa hivi; hajamaliza hata nusu mwaka halafu unataka tumpime kwa trip moja!!

Kuwa na subira!
Kwa mtazamo huu mbona safari ni ndefu sana?! Yaani tunashindanisha kitu gani hapa
 
Kwa wananchi wasiosukumwa na ushabiki wa kisiasa, hili ni kosa ambalo serikali ilipaswa ilitolee maelezo, hata kwa kusingizia walipata taarifa za kiitelijensia wakaamua arudi kwa ndege.

Ova
 
Mkuu, unasema rais wakat kuna wakurugenzi tu wanafanya hivyo. Me nadhani TISS wanaangalia usalama zaid.
 
Kama haitoshi,unafuta kitengo cha lishe na dawati la wageni pale Magogoni alafu unajiandaa kuajiri Mkalimani ambae bila shaka nae atahitaji kuwa na ofisi either hapo hapo Magogoni au kwingineko na atahitaji kulipwa mshahara na perdiem kwa kila safari ya nje ya nchi!!
 
Katika mialiko yote aliyopata toka aingie madarakani, angekuwa amesafiri mara ngapi endapo angeitikia mialiko hiyo, huoni kama ameshabana hayo matumizi ?
We Ulitaka asafiri tena kutoka rwanda mpaka dar kwa gari ndio ulidhike?
 
Mfano wako mbona haufanani na issue iliyopo?! Kinachosemwa hapa ni kama vile mfagizi anapiga deki sebuleni huku anakunya na kudondosha kinyesi anakopiga deki.

Ova
Nimekuelewa mkuu ila tukubali kutokukubaliana...
 
Katika mialiko yote aliyopata toka aingie madarakani, angekuwa amesafiri mara ngapi endapo angeitikia mialiko hiyo, huoni kama ameshabana hayo matumizi ?
We Ulitaka asafiri tena kutoka rwanda mpaka dar kwa gari ndio ulidhike?
basi kama alijua hatoweza kwenda na kurud kwa gar kwanini asitumie ndege mojakwamoja?wewe huon huu ni ujinga tunadanganyana?kweli ndio maana hata trafiki wa kenya wanatudharau na kutuita wajinga.kenya mkate tu ulipanda bei waziri akapgwa chini.shiling ikashuka kidogo siku mojatu wazr akalala nje.nyie kosa kama hili sio kosa?
 
Watu wanafatilia Hadi vijimambo vidooogo visivyo namaana, rais anaweza kuhitaji kupita na gari ili kuona ubora Wa barabara sehemu flani ,ajabu ninini? Umbea skuiz umeshika hatamu,vinenovineno kilasiku ni mambo ya hovyo kabisa...esi hechi ai tii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom