Kuna mahali nimepewa offer ya Massage kesho Ijumaa, sijui inakuwaje hiyo makitu.
Mwenye uzoefu tafadhali, nisije pata kesi ya kubaka mie........................................LOL
Ukibaka kwa kinga adhabu inaponguzwa...
By the way, aliyekwambia masaji itafanyiwa na mwanamke ni nani??
Mabwabwa yana mikono laini siku hizi! Shaurilo.
Nenda kapunguze stresss tena nenda pale AZURA Mikocheni, safi kabisaaaaa. Ukifika wavua nguo zoteeeeee!!!!!!!!!!! Wakandwa hadi misuli ya makalio, manake nyie mnaodrive na kushinda mmekaa ofisini, hali ya eneo hilo inakuwa si shwariii. Chezeya MAFUTA YA MZEITUNI NA MNYONYO NYIEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!
- women hufanyiwa massage na straight men
- men huwanyiwa massage na straight women
Umeona eeeh! Asije akaja kutuambia anaogopa kwenda kuchukua majibu, lol!he he he, nenda na kinga.
Huyo owner Hana asante nyingine? Waambie wakufanyie massage ya miguu na mikono na kichwa.......au mwambie owner uende na mama ngina, si katoka kujifungua? Utakuwa bomba sanaWanaofanya masaji ni wadada na nilipewa offer hiyo na owner wa hiyo sehemu kama vile shukrani baada ya kumsaidia mambo flani flani....
Karibu sana mtaani kwetu, maana naona umeingia bila hodi.........jipange km unaenda vitani