Karibu sana mtaani kwetu, maana naona umeingia bila hodi.........
Kuna mahali nimepewa offer ya Massage kesho Ijumaa, sijui inakuwaje hiyo makitu.
Mwenye uzoefu tafadhali, nisije pata kesi ya kubaka mie........................................LOL
- women hufanyiwa massage na straight men
- men huwanyiwa massage na straight women
Mwambie mama ngina akamue mawese kabisa uwende ukiwa mwepesi........na je ukikuta na masusi wa kiume? We jitayarishe kimoyo na kimwili. Tosha
are they cute? if yes, sign me up please :happy:And men and women hufanyiwa.massage na gay men!
aghhh!! i stand corrected.Kama hawa?
![]()
Kama hawa?
![]()
Umeona eeh! mimi mzima my dearest, hofu kwako. jamani Baba_Enock hajambo? haonekani siku hizi, au ndo kumfungia? msalimu sanaFP ukiona hivyo mgeni mwenyeji huyo. Mzima wewe lakini mic u so much
he he he, nenda na kinga.
Umeona eeh! mimi mzima my dearest, hofu kwako. jamani Baba_Enock hajambo? haonekani siku hizi, au ndo kumfungia? msalimu sana
Mwambie mama ngina akamue mawese kabisa uwende ukiwa mwepesi........na je ukikuta na masusi wa kiume? We jitayarishe kimoyo na kimwili. Tosha
nimefurahi kukuona, maana siku hizi ni bidhaa adimu sana, lol!Nipo mzima wa afya tele...! Hujambo lakini? Usisahau kunialika ukitimiza miaka 16 ya kifungo cha maisha...!
hata kama kitu siyo kipya, i.e vice versa pia true.... anaweza akakamuliwa huko na akarudi nyumbani akakamuliwa tenaHili ndilo kosa lenu wanawake! Nyie mnadhani ukimkamua mwanaume hawezi tena kukamuliwa siku hiyo, kwa taarifa yako unaweza kumkamua sasa hivi na akakamuliwa tena dakika 5 zinazofuata - bora kitu kiwe ni kipya tu! Kalaga bhaho!
hata kama kitu siyo kipya, i.e vice versa pia true.... anaweza akakamuliwa huko na akarudi nyumbani akakamuliwa tena