PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Hizi picha bana zimekuwa na usiri mkubwa sana miongoni mwa watumiaji..Mtu anasema hazipendi, kumbe anazipenda sana , na anaziangalia kwake nyumbani.Mi nakumbuka kuna wanandoa walioenda kushitakiana kwa Paroko kwa ishu ya kutotimiziana tendo la ndoa. Ikaonekana kuwa madai ya mwanaume ni kuwa anajisikia uchovu sana na huwa anaona ni usumbufu sana kufanya tendo hilo, ndipo katika kuwashauri, paroko huyo alifikia hatua ya kuwaambia kuwa kama wanakosa msisimko na kuhisi baridi, basi waanze kuweka mikanda ya blueprint chumbani huenda itawasaidia kuamsha mshawasha wa tendo hilo, na hatimaye kuponya ndoa yao!Sijui imekaa vipi hii!