tekategula
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 97
Mimi bado sijaelewa sijui nawengine nikama mimi make unadai nikwa mwenga sasa huyo mwenga yuko kivyake namaanisha walisha achana na mwanae au?Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii
Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
Pamoja na hilo lkn bado ana haki ya kukaa Kwa mwanae Kwa mapana na marefu.Ana mme
Hiyo ni sawa, sawasawa. Kwanini mnakua hivi dada zetu? Unamuonea wivu hadi mkwe, sipati picha wadogo zake.Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii
Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
espy ndio mama mkwe huyo unafanyaje huna jinsi dear inabidi tu muishi wote utamfukuza na ni kwa mwanae muache akichoka ataondokaSasa yeye mumewe nani anakaa nae hiyo miezi 6 yote?
Kumfukuza huwezi ila ni sahihi? Hakuna anaemzuia kuishi kwa mwanae, ila anaishije ndi tatizo. Kumbuka pia kwake kamuacha mumewe eti!!espy ndio mama mkwe huyo unafanyaje huna jinsi dear inabidi tu muishi wote utamfukuza na ni kwa mwanae muache akichoka ataondoka
Sio busara wanawake mnatakiwa mjifunze. Maana kukaa huko ndio mnaanza kusengenyana mwisho mnagombanaespy ndio mama mkwe huyo unafanyaje huna jinsi dear inabidi tu muishi wote utamfukuza na ni kwa mwanae muache akichoka ataondoka
si sahihi kukaa mda mrefu sana sabbu ana kwake lkn hakuna jinsi ndio mama mzaa chema inabidi uvumilie tu hakuna namnaKumfukuza huwezi ila ni sahihi? Hakuna anaemzuia kuishi kwa mwanae, ila anaishije ndi tatizo. Kumbuka pia kwake kamuacha mumewe eti!!
Daby hapo usikute mwanamke ameshaongea sana kwa mumewe hakuna hatua yoyote utafanya nn utaondoka uwaachie nyumba auSio busara wanawake mnatakiwa mjifunze. Maana kukaa huko ndio mnaanza kusengenyana mwisho mnagombana
Angalia daby usije fukuza mzazi kwako kwa kisingizio cha si busara.Sio busara mzazi kuishi kwa mwanao siku zote hizo na huna cha maana unachofanya. NARUDIA SIYO BUSARA. Haki ya kukaa unayo ila sio busara.
My dear ni rahisi kuongea kama hayajakukuta, nimeshuhudia watu wakiteswa na wakwe hadi wanakimbia ndoa, hivyo mie hili sitaki kuliintertain kama tayari kuna figisu figisu.si sahihi kukaa mda mrefu sana sabbu ana kwake lkn hakuna jinsi ndio mama mzaa chema inabidi uvumilie tu hakuna namna
Hapana. Busara ni muhimu.Daby hapo usikute mwanamke ameshaongea sana kwa mumewe hakuna hatua yoyote utafanya nn utaondoka uwaachie nyumba au
espy sio hayajanikuta na uzoefu na hao watu dear ukiwajulia hawana shida ata kama wana matatizo yao ukiwachukulia kama wazazi wako waliokuzaa wenyewe wanajirudiMy dear ni rahisi kuongea kama hayajakukuta, nimeshuhudia watu wakiteswa na wakwe hadi wanakimbia ndoa, hivyo mie hili sitaki kuliintertain kama tayari kuna figisu figisu.
Maybe kama yupo kimatibabu,au no way out, ila hivi hivi tu!!
Ile ya utawaacha wazazi wako uambatane na mumeo/mkeo ina maana sana.
Mimi mzazi wangu namwambia ukweli....na nina uhakika hawezi kukaa kwqngu hata 1 week labda sijui itokee nini. Kwanza atakuwa anafanya nini?Angalia daby usije fukuza mzazi kwako kwa kisingizio cha si busara.
mm tena Daby nimefanyaje tenaHapana. Busara ni muhimu.
Huyo ni kumwacha aishi tu ila nikirudi kwenu hasa wew. Kwanini uishi kwa mwanao muda wote huo wote huna kwako? Kila nyumba ina mipango yake.
JE kama ana kwake na hana maradhi ya kiafya ni haki kuishi kwa muda wote huo?Ni haki kuishi kabisa kwa mwanae kama huyo mama hana mume na hana mtu wa kumtunza.
Thubutuuuu!!espy sio hayajanikuta na uzoefu na hao watu dear ukiwajulia hawana shida ata kama wana matatizo yao ukiwachukulia kama wazazi wako waliokuzaa wenyewe wanajirudi
Mmh haya bwana....Mimi mzazi wangu namwambia ukweli....na nina uhakika hawezi kukaa kwqngu hata 1 week labda sijui itokee nini. Kwanza atakuwa anafanya nini?
Nakueleza usikiemm tena Daby nimefanyaje tena
bas tufanye hivi sio kwa woteThubutuuuu!!
Uliza uambiwe.
Kumbuka nani kama mama pia usisahau na wewe nimamamkwe mtalajiwaDaby hapo usikute mwanamke ameshaongea sana kwa mumewe hakuna hatua yoyote utafanya nn utaondoka uwaachie nyumba au