mwache amnyooshe, kama angekuwa vizuri asingesemwa, anasemwa kwasababu amepinda huyo dada mwenzio. mwambie atule sindano iingie taratiiibu.Mama mkwe kukaa kwa mwinga wake miezi 6 ,,jamani wake zenu wengi hawapendi hili kuna mdada nimemtembelea analalamika anasema mama mkwe wake yupo pale kwake mwezi unaenda huu wa sita anasema hana raha ya ndoa kabisaa kwani mama mkwe anakuwa anamsema kwa ndugu yaan maneno hayaishi ,sasa nachojiuliza ni haki mama mkwe kuishi kwa wanae muda mrefu kiasi kile hata kama ni mama mzazi,halaf mama mkwe kaacha kwake na mmewe kamuacha tu peke yake
Yaan mama mkwe kageuza imekuwa kwake ,,,kwenye ndoa kuna mengi jamanii
Au ni haki labda pengine wake zenu wanakosea ,
kwani wanalala naye chumbani? au anaona anammalizia vyakula? kama mimi ni mme wako upo na mimi faragha chumbani kwangu tunajadili yetu na pengine tunamjadili hata bimkubwa mwenyewe na kupanga yetu, tukitoka asubuhi tunamkuta sebuleni au jikoni, tunamwaga vizuri hao kazini, hadi jioni, kuna shida gani?.....anakuibia nini, upendo? kwani chumbani kwenu mnalada watatu? wewe, mama mkwe na mmeo?Ukilianglia haraka utasema ni haki, ila ukiliangalia kwa kina ni ngumu kumesa.
Why yupo hapo kwa muda wote huo na ana kwake alikoacha mumewe?
Haya mambo huwa magumu hivyo inahitaji busara kwa wooote(mkwe,mke na mume)
Hopefuly yo a man, kwahiyo hili kulielewa kidogo itakuwa ngumu.kwani wanalala naye chumbani? au anaona anammalizia vyakula? kama mimi ni mme wako upo na mimi faragha chumbani kwangu tunajadili yetu na pengine tunamjadili hata bimkubwa mwenyewe na kupanga yetu, tukitoka asubuhi tunamkuta sebuleni au jikoni, tunamwaga vizuri hao kazini, hadi jioni, kuna shida gani?.....anakuibia nini, upendo? kwani chumbani kwenu mnalada watatu? wewe, mama mkwe na mmeo?
Sasa yeye mumewe nani anakaa nae hiyo miezi 6 yote?hao wakwe ukiwajulia hawana shida kabisa ana haki ya kukaa kwa mwanae na usikute mtto wa kiume ni huyo pekee mwambie shost avumilie tu ndio ndoa hiyo