Hivi hii ni normal au nina tatizo?

Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

mara kadhaa nimejikuta kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,

napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko na wa kwangu.......

nikimsalimia tu mke wa mtu... She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

:mmph:.... Ningekuwa sio mtumishi wa Mungu ningekushauri uwamiliki wooooote unaowaonea wivu, as long as u can provide for them....

Lakini kwa sababu ya utukufu wa Mungu.... Tafadhali ingia kwenye maombi.... U need spiritual help...:amen:
 
Acha uhuni period.
Lol bro... I was gonna tell him the same....

The Boss frankly speaking you have been a big disappointment to me( you lie, you cheat, you scrw other guys wives )this is not normal...kwa uhuni huu you cant build a normal relationship with any woman...
 
pole sana boss hiyo ni noma maana hebu fikirikama wewe mkeo umkute anapumuliwa nakijana au yuko gest na mwanaume jinc ucivyopenda kufanyiwa bac ucmfanyie mwenzako mke wa mtu ni noma watakukamata watakupumulia kichogoni afu watakutembeza uchi mtaani ni sooo
 
boss nakusauri jitahidi sana kuyashinda majaribu iposiku yatakufanya uone dunia chungu epuka ukishakwishajua ni mke wa mtu mwepuke
 
ha ha ha ha!
ze boss...............

ngoja nikailipie bastola angu niwe natembea nayo kwenye tukutuku langu
 
:mmph:.... Ningekuwa sio mtumishi wa Mungu ningekushauri uwamiliki wooooote unaowaonea wivu, as long as u can provide for them....

Lakini kwa sababu ya utukufu wa Mungu.... Tafadhali ingia kwenye maombi.... U need spiritual help...:amen:
nena bwana............
maana TAZAMA,mtumishi wako nakusililiza:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Lol bro... I was gonna tell him the same....

The Boss frankly speaking you have been a big disappointment to me( you lie, you cheat, you scrw other guys wives )this is not normal...kwa uhuni huu you cant build a normal relationship with any woman...
Nipe haki basi hapo kwenye kabatani kale.....sis nawe hadi niombe??
 
This is a spiritual problem. Trust me. Kuna roho ya uzinzi inakusumbua brother na nakushauri uende kwa walokole wakuombee ikutoke. Baada ya kuombewa watakushauri namna ya kuepuka mambo kama hayo. Naona shetani anakubipu na umekuwa unampigia sana - unaitwa kuzimu na shetani wahi kwa walokole bro vinginevyo maisha yako ni mafupi. Biblia inasema: "Aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA, anafanya jambo litakaloiangamiza nafsi yake". Fikiria kama wewe ukifanyiwa hivy - yaani mkeo atoke nje ya ndoa!!! Utaumia sana. Kwa hiyo hao unaowaibia wakikumata unaweza poteza maisha kabisa. Watagundua wameshakuua ndo waanze kujuta kuwa wameua. Mke wa mtu achana naye kabisa. Ni hayo tu kwa sasa. For more clarification, you can PM me.
 
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

Depends on where u stagnated in your development process to maturity. Kuna concept ya Oedipus complex - You could be one of the prototype of the research findings.

Labda pia ur upbringing and what u picked along the way...

Bottom-line ni tabia mbaya na kwa bahati nzuri you have acknowledged your problem- kama ninavyowashauri alcoholics - Seek Help and fast!(Lakini NOT from a married woman au mchumba wa mtu....) Ntakushauri umwone Profesa Kilonzo - That would be a safe ground.
 
Hivi ni nani mwenye makosa hapa?

Ni the boss au ni hao wake na wachumba za watu?

Hope ni wote:

Wao ni wake za watu wanatemea na mume wa mtu!

Nafikiri wote wanahitaji maombi.

The boss I have a book by the title ''HOW TO DEAL WITH STUBBORN HABITS''
Unaweza kukipata pale namanga kanisa la st. peters nje

wanakouza rozari na vijitabu vya sala. Kama

wewe sio muumini wa lile kanisa waweza kumtuma Geoff au chrispin watakuchukulia. If at all I

was still in Tanzania I could have bought you the book. Its a nice

book you can just read inone night.

cheerz guys!!
 
I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Hapo kwenye blue vp? umeshawai kubreak na huyo mke wako ukaona maumivu yako vp? au unahisi tu?
 
The boss,kama hao wake za watu wanakupa mapenzi zaidi ya huyo wa kwako,lazima utaona wivu tu,jaribu kukaa na galfrend wake muda mwingi na kuwa wazi kwake,unapenda akufanyie nini! O'wise kupenda mke wa mtu au mume wa mtu ni normal,ila solution ni kujicontrol!
 
The Boss, Tupilia mbali mawazo hayo maana wananchi wanaweza kukutembeza hivi mtaani fikiria ndio migo hii unatembezwa hivi hadharani baada ya kukutwa na mchumba/mke wa mtu itakuwaje? Haya yalimkuta njemba mmoja huko Kimara mwaka 2007!! Fedheha haichagui, waweza kuwa miongoni.

Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

Binafsi pia nakutana na hali hiyo.. hata kama nia yangu na msichana ni urafiki wa kawaida.. mwenzangu anachukulia tofauti na najikuta katika mtihani.. huwa nakuwa mkweli kwao na kujaribu kupotezea feelings(japo nafsi yangu ya kibeberu inauma kwa hili). ila hata nikfanya hivo linaanza lingine... binti ataanza nichukia kana kwamba nime-hit n run...!! nikichunia na kashfa zitaanza kurushwa!!

Juu ya yote... najiepusha na mazingira shawishi...na maadam sijachetua mzigo..hata aki-mind poa tu..itaniepushia matatizo zaidi!

Huyo ni mimi..chukua uwezacho chief..!
 
Back
Top Bottom