Hivi hii ni normal au nina tatizo?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,873
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........
 
mmmh!!...mimi ningekuwa wewe ningeridhika na huyo mmoja wangu nilie nae....na pia unachezea maeneo ya kipondo kibaya sana....hivi ikatokea siku wenye mali wakakumind itakuwaje??
 
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

BOSS, kwa maoni yangu sioni kama hilo ni tatizo bali inaonyesha mapenzi yako ya kweli kwa huyo binti na ndiyo maana unaona wivu. Na katika mahusiano mengine na mke wa mtu unaweza kabisa kumshawishi ili avunje ndoa yake na kupata uhuru wa kuwa pamoja bila wasiwasi wowote na hili limeshatokea mara nyingi sehemu mbali mbali duniani, labda ukishajua binti kaolewa basi ni kuingia mitini haraka sana ili kupunguza tatizo lako, lakini huwezi kumpenda mtu na usisikie wivu hata akiwa mke/mume wa mtu especially kama kuna mapenzi ya kweli kati yenu.
 
I showed your woman what a real goon is like. I can't help it if she checks for a platinum type of guy like me. Ever wonder why she calls you Ngabu when your name is Boss?
 
unaijua .3 callibre rifle?? .3 callibre ammunition ikiingia kwenye ****, kwa nyuma inatokua kwenye kiuno kwa mbele!! kwisha kazi yako...........acha wake wa watu!!

Unitafute kwa ushauri!!
 
The Boss, hiyou Avatar yako haifanani na unachosema!
Anyway, mke wa mtu ni sumu, mengi yalishwasemwa sitayarudia!
 
Ukitaka mawazo ya kutaka mke wa mtu yakutoke, we fikiria haya:-,,,,ivi wakinikamata afu wakanihemea itakuaje?,,,,ivi mke wangu nae angekua anafanyiwa ivi je???
 
Huo wivu utaisha siku mwenye mali akigundua na kuamua kulipiza....si unajua ukipenda kula vya watu na vyako vitaliwa?
 
Mkuu hiyo kitu ni hatari sana,jitahidi kadri uwezavyo ikibidi hata kupata ushauri nasaha kuachana na hiyo tabia.
 
Boss pole. tell you what, usianze mahusiano na hao wake/wachumba za watu in the first place.hata kama ni mzuri kiasi gani anavutia kiasi gani yani usianze naye mahusiano kabisa. uyashinde matamanio yako kwa kumuwazia yule ambaye umemuacha nyumbani am pretty sure she is way beautiful loving sexy and all that than the rest you trying to see/date. hebu jaribu kufanya hivyo uone.

Halafu umenitupa siku hizi sorry offtopic a little
 
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

I find it hard to even advise you cos I'm very much against people of your type. But also age might play a very big role in what you are experiencing at the moment. In my thinking a married woman/man should be avoided as much as possible since they have made a serious commitment and made vows of taking each other in for better/for worse till eternity (for Christians especially).

Its human nature to be weak but my friend if you ever knew how it hurts the husbands/wives who are cheated upon with pple like you, you'd never do what you are doing. The good thing is that you've known your problem now please try as much to run away from adultery! Its never good to your mental and physical well being. Find a woman you love get married and settle down.:mmph:
 
The Boss ni nini kinakupelekea ukampende mke wa mtu au Mchumba?
Inawezekana kabisa katika mahusiano uliyopo huridhiki nayo ,Huyo mke au mchumba wa mtu huko alipo haridhiki na mapenzi anayoyapata.
Kwa hiyo basi mkikutana kila mtu atataka kujiridhisha nafsi yake ndipo mnajikuta mmejiachia kila mmoja kwa mwenzie na kusahau kama mnaiba .
Hapo ndipo linakuja tatizo la wivu maana unajikuta umependwa na kupewa mapenzi ambayo hujawai kuyapata..pole sana angalia maisha yako yapo hatarini .....mke wa mtu sumu
 
Pole boss, shida yako unapoanza nao unakua na fikra za kutoka nae na then umwache maana ni mke wa mtu, lakini unakuja kufall inlove with them to the extent unawish angekua wako tu! kuondokana na hali hiyo jitahidi utulie na wako mke wa mtu sumu!
 
KWANZA, kweli umerogwa sana. PILI, andika wosia tayari maana maisha yako sio marefu, TATU, kapime afya. NNE, kamwone daktari kwa ushauri (wataalamu wa tabia). Nakuhurumia sana maana hio tabia ni mbaya saana- hakika unachezea maisha yako. Kaa chini halafu ufikirie malengo yako katika haya maisha, je umeyatimiza yoote? je Upo kwenye njia sahihi ili kuyatimiza? JISHAURI KWANZA!
 
Duuu hapo pa kulogwa tutawasingizia na wachawi tetetetetet
 
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo......

Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza
kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi??????

Not that i am proud of this but mara kadhaa nimejikuta
kwenye relationship na mke wa mtu hivi au mchumba wa mtu hivi

mwanzo huwa nakuwa sipo serious saana......kwa hiyo nakuwa sijali sana..

Sasa baada ya mda huwa naanza kuumia mimi.
I mean mke sio wangu lakini nashikwa na wivu .....
Yaani badala ya ku enjoy kuiba naanza kutaka kuwa kama ndo mume
mwenyewe wakati na mimi nakuwa na wangu ambaye nampenda,,,,
sasa hii possesive behaviour huwa najiuliza ni normal au nna tatizo kubwa???

Nikitaka nisiwe na tatizo hili ni vipi nifanye....?????

I mean huwa napata maumivu ku break na mke wa mtu au mchumba wa mtu kuliko
na wa kwangu.......

Yaani its so stupid but ndo reality.......

Halafu ni kama nimerogewa hivi.....nikimsalimia tu mke wa mtu...
She is on me.......ni kama vile trouble is looking for me
hata nikijitahidi ku avoid vipi........

Dont date married women and those who are in a committed relationship, ridhika na uliye nae.
 
another thing my dear boss, stop flirting behaviors, some women dont understand that and take everything serious and before you know it, you already have her on bed.
 
Back
Top Bottom