Hivi hii ni normal au nina tatizo?

"Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; wala uysikubali akunase kwa kope za macho yake; Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani; Je mtu aweza kuua moto kifuani pake na nguo zake zisiteketezwe? Je mtu aweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zake zisiungue? NDIVYO ALIVYO AINGIAYE KWA MKE WA JIRANI YAKE; KILA MTU AMGUSAYE HUYO ATAKUWA NA HATIA................................ MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA; AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE; ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA; WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA; MAANA WIVU NI GHADHABU YA MTU WALA HATAHURUMIA SIKU YA KULIPIZA KISASI; HATAKUBALI UKOMBOZI UWAO WOTE; WALA HATAKUWA RADHI UJAPOMLIPA VITU VINGI: MITHALI 6: 25- 35

Neno la Mungu hilo lifungue ufahamu wako na likubadilishe ..... KATIKA JINA LA YESU - AMEN!!!
 
Sitaki kukutisha Ndugu yangu The Boss lakini siku ukisikia mkeo/mchumbao amempenda mtu baki kuliko anavyokupenda wewe roho+moyo vitapasuka na kulipuka. Jitahidi kuondoa hizo hisia za kuwapenda watu ambao wako kwenye mahusiano maana kwa hakika sio vizuri na haipendezi. Sidhani kama nimekusaidia ila nimetoa kilichoko kwenye mawazo yangu
 
Back
Top Bottom