Hivi hii ni aina gani ya uigizaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii ni aina gani ya uigizaji?

Discussion in 'Jamii Photos' started by mussamutagaiwa, Dec 16, 2011.

 1. m

  mussamutagaiwa Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  images[1].jpg
  Huyu ni kanumba na aunt ezekiel mushauri wa ukweli jamaa anachunguli mbaka kunako? ndo mila na desturi za MTZ!
   
 2. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Huu unaitwa mshazari shooting halafu lazima uwe umevaa miwani
  ili ishu uione kupitia giza kidogo maana......
   
 3. m

  mussamutagaiwa Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ila jamaa noma kuchungulia hai kutosha kataka kupima joto kuangalia centgrade zikoje, to me i can see it is a shame.
   
 4. p

  pilu JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its shame indeed! Tunajidhalilisha wenyewe akina dada jaman, huo si utamaduni wetu, radha yoote inaisha.tuache hayo mambo ya kujianika uigizaji usiwe ndo excuse!
   
 5. p

  pilu JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kisa cha kumtia majaribu mkaka wawatu ,aweza kusahau ata maneno alopangiwa kwenye hiko kiscript jamani loh! Madirector na watunzi wa hizi bongo move wanawajibika katika huu uaribuji wa maadili ya mtanzania! Tujirekebishe muda bado upo.
   
 6. p

  pilu JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ha ha ha! Hebu usinivunje mbavu jamani! Akati ni sijapenda tunavo jidhalilisha!
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uigizaji wa FILAMU hauwezi kuendena na MILA NA DESTURI za MTANZANIA! Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa... Kwahiyo kama tumeridhia kuigiza filamu then turidhie kufuta the so called mila na utamaduni wetu... Over & Out
   
 8. m

  mussamutagaiwa Member

  #8
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  madirector jamani ndo haohao utakuta director yeye,producer yeye,editing yeye ulaji utafanyaje kijana anajichukulia kiulainiiii kisa director mabinti jiadhali na hawa watu tafuteti shughuli nyingine jamani acheni kujidhalilisha
   
 9. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa hapo naona maumivu ya kichwa huanza polepole!!!!!!!!!!!!
   
 10. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  mke wangu simruhusunkuigiza kabisa.bure nife njaa kuliko hela atakayolipwa nile.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Wanaamini kuwa kujidhalilisha ndo uigizaji wenyewe. Wote ni wapumbavu tu.
   
 12. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  bila hivyo mbona hawatauza hao!
   
 13. semango

  semango JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wanajaribu kuvaa uhalisia
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :poa:biggrin::lol::tongue::tongue::tongue::nerd:.........................
   
 15. Gladness Clement

  Gladness Clement Member

  #15
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama ni umaarufu sio kwa namna hii jamani, bila na desturi za tz haziruhusu ivi.

  Na c kila kitu cha uiga jamani
   
 16. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  na mimi nataka kuigiza kama ndo inakuwaga hivo
   
 17. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanaigiza UKWELI jamani.
   
 18. s

  sangale sabore Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sema wote hao ni wahuni awaangalii ata movie za wenzetu yana ukiwaangalia hapo utafikiria wana act ex movies na hao ma director ni wapumbavu
   
 19. libent

  libent JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo ni kweli kama tumeamua kuigiza sinema lazima utamaduni ukae pembeni labda waigize za misituni kama akina komando kipensi. Nashut down
   
 20. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kazi kwelikweli
   
Loading...