mussamutagaiwa
Member
- Sep 12, 2011
- 14
- 3
View attachment 43470
Huyu ni kanumba na aunt ezekiel mushauri wa ukweli jamaa anachunguli mbaka kunako? ndo mila na desturi za MTZ!
Huu unaitwa mshazari shooting halafu lazima uwe umevaa miwani
ili ishu uione kupitia giza kidogo maana......
Uigizaji wa FILAMU hauwezi kuendena na MILA NA DESTURI za MTANZANIA! Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa... Kwahiyo kama tumeridhia kuigiza filamu then turidhie kufuta the so called mila na utamaduni wetu... Over & Out