Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Unaweza uza Bei juu,lakini ujue mda wowote utajikuta lokapu kwa uhujumu

Nimeenda duka la dawa hapa Ubungo nikawa nafuata panadol, nikauliza mask, ananiambia moja buku 3, ingawa alisema zimeisha, nikawaza kama kwa siku unatakiwa unadirishe atleast 3 times itakuaje sisi vipato vya kawaida,

Ngoja nikazane na kunawa mikono tu. Mungu atusaidie sana.
 
Mask zile za blue 😂😂 jamani hizo si mia 3?!!
 
Vipi ukinawa kwa kutumia hizi chlorine ambazo uwa wanaweka langoni mwa kambi za kipindupindu au V-Rid za kuweka kwenda maingilio ya mabanda ya mifugo ambazo hata bei yake ni nafuu pale ambapo matumizi yake ni makubwa na ya kila mara?
 
Hiyo ni sabuni ya maji ya kunawia mikono. Sio sanitizer
 
Hiyo ni sabuni. Hand sanitizer unaipaka na haunawi mikono kuiondoa. Lakini hiyo lazima usuuze mikono ili itoke. Bila hivyo utakaukiwa na povu lake meeen

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…