frank omary
Member
- Jan 18, 2019
- 39
- 9
- Thread starter
-
- #61
Hakuna cha refunded wala nn,hao ni matapeli kuna wkt they almost get me.
Achana nao endelea na mambo yako
Sent from my iPhone using JamiiForums
weee usithubutu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Namba ndio inamaanisha hakuna utapeli?
Hata wale matapeli wanaotumaga meseji za "Ile Hela tuma kwenye namba ...., itatoa jina" si namba pia wanatumia kutapeli watu?
Cha msingi ni uone ofisi zao zilipo ujihakikishe kua ni kweli wana ofisi, na hizo kazi zipo kweli.
Hiyo english ya kwenye hyo barua, ni ya mwendo kasi!! Hapo bhana jiandae kwa yote mawili ether kupigwa, au kupata hyo kazi
Kupigwa ndo best option, remember that
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda wapi wewe?? ukishatuma ndo basiIla wamesema ni refunded fee, kwahiyo ukienda unarudishiwa pesa yako but usipoenda utakuwa ni sawa na kuwapa pesa ya mboga
Sent using Jamii Forums mobile app
haswaaa napigia mstari