Hivi hii kitu google wanaweza ku implement?

Hivi hii kitu google wanaweza ku implement?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Ku 'search' kwa kutumia image, unaweka image kwenye search engine na inakupa details zake kama tunavyo ona kwenye move.
 
Mbona tayari kitambo kaka? Sema lazima uwe na computer mzee.

Fungua Google dot com.

Kisha pale juu kulia, click Images.

Katika ile seach bar, utaona kuna mahala kuna ka-sign ka-camera, ukipeleka cursor inakuambia "Search by Image".

Ukiclick hapo, itakutaka uingize url au u-upload hiyo picha kutoka kwenye computer yako.

Ukisha upload, una click search.. There you Go!

ILA SASA:

Picha itatafutwa hiyo hiyo tu, au za watu wanaofanana pozi kama ilo.
Usitegemee kusearch picha ya Juma akiwa amekaa, hafu wao wakuletee picha ya Juma huyo huyo akiwa amesimama au passport size yake. ie: hawana uwezo ma face recognition. Hivyo ukiupload na kusearch picha ya Juma aliekaa, watakuletea picha ya Juma aliekaa (kama hiyo picha iliwahi ku-uplodiwa mtandaoni), au ya watu wengine waliokaa pozi linalofanana na Juma.
Pia inakupa na source ya hiyo picha.
 
alternative kama picha ipo online right click utaona option unayoitaka ya kusearch hio picha ila njia hii itahitaji uwe na browser ya chrome

na sio google tu kuna makampuni mengi yanafanya hivi vitu
 
alternative kama picha ipo online right click utaona option unayoitaka ya kusearch hio picha ila njia hii itahitaji uwe na browser ya chrome

na sio google tu kuna makampuni mengi yanafanya hivi vitu

hivi kaka naweza kupata chrome.apk file na ikawork kwa chinese droid gadget?
 
Ku 'search' kwa kutumia image, unaweka image kwenye search engine na inakupa details zake kama tunavyo ona kwenye move.

Option hiyo google mbona ipo, ila inategemea wewe unataka matokeo ya namna gani huenda isiwe na msaada sana kwako, huenda isilete majibu unayoyataka.
 
hivi kaka naweza kupata chrome.apk file na ikawork kwa chinese droid gadget?

yah unapata.

downlaod hii market ya android inaitwa 1mobile market ina apps nyingi sana mpaka nahisi wanagrab toka playstore. nimesearch sasa hivi wanayo browser ya chrome. idownload ikuondolee kero la playstore.

hii hapa link ya chrome kwa 1mobile ukiclick download itakuja app yao download halafu open then search chrome.

Search Android apps or games
 
Kuna nyingine inaitwa tineye hii ndio huwa Mie napenda itumia, pia wana addon za Firefox na chrome


Sent from my Nokia Lumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom