Kivipi nikupe hela?Toa hela mkuu
Sawa anaweza kukupa moyo wake kwa dhati kabisa?Kashafanya yote aliyotaka kufanya
Anatafutia pa kufia sasa
Ahaaaaa ahaaaaa u made ma dayKashafanya yote aliyotaka kufanya
Anatafutia pa kufia sasa
Nawashilisha taarifa Mkuu bikra hakuna Tanzania ya wakati huu wa Handrod[emoji1]From my experience, msichana bikra huwa ni vigumu sana kumkubali mwanaume kirahisi hata miaka 3 inafika kabisa, ila kama sio bikra ujue ana yake huyo.
Nilimpenda sana. Sikuona mwanamke ambaye anaweza kumsubstute.Inategemea kwanini alikuzungusha....labda kwa sababu ya elimu ,umri, au personal tuu hakutaka kujihusisha na mapenzi.... Hao turn up yao ni nzuri..
Ila wale wanaturn baada ya kuvurugwa huko walipokuwa....nawewe unatakiwa uwakimbie
BTW miaka mitatu yotee ulikuwa unamsubrir??? Au uliendelea....then huna msimamo karudi, unaanza kumuwaza waza????
possible kabisa nilimzungusha mtu miaka mi3 ndo alikuja kua pehel pyaar(first love)hakukata tamaa!!Habari wana Jf.Naomba kuuliza hivi inawezekana mwanamke amekuzungusha miaka 03.Kisha akakubali na akawa anaupendo wa dhati?
Eti Wadada kwa experience yenu unaweza ukamzingua mwanaume muda mrefu na yeye akawa na mapafu ya mbwa ya kukufukuzia na mwisho ukamkubali na kumkabidhi moyo wako wote bila nusunusu?
Naomba kuwasilisha.
Udaktari wa mifugo mkuu chuo cha tengeru arushaamiaka mitatu unasomea nn ?
Nahisi inawezekanaSawa anaweza kukupa moyo wake kwa dhati kabisa?
[emoji28] [emoji28]Ahaaaaa ahaaaaa u made ma day