Hivi hii inawasaidia nini??tubadilike,,

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
Habari za saa hizi,,

hii tabia ya kwamba wenzetu wamejipumzisha na mbavu zao za maisha kimahaba then wengine tena wenye mbavu za kwao wanakuja kuchungulia chungulia madirishani "kupiga chabo" kwa lugha nyingine..

Hii inawasaidia nini baadhi ya wenzetu wenye tabia hizi?kuna kipindi nilidhani ya kwamba hizi ni tabia za watu wa uswahilini,ambao hawana shule na waliokosa ustaarabu kumbe imekua ni zaidi ya hapo,,

suala la faragha ni suala nyeti sana linalohitaji staha ya watu wawili wenye ridhaa yao kwa raha zao,,sasa wewe unaongezeka kuwa wa tatu bila ridhaa yao huoni kwamba unawakosea??...

Wenye tabia hii me nawaona...

Tubadilike,usiku mwema.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,035
1,500
chabo ni starehe kama starehe zingine
kwa nini watu wanakunywa bia?

Baadhi ya faida za chabo ni zifuatazo:-

Ujue chabo zingine zinalipiwa kwa hiyo inaongeza mzunguko wa pesa

kubadilishana ujuzi bila kuambukizana magonjwa

kuongeza hamasa ya mpichaji chapo

kukosoana pale mpigaji chabo anapoona unakosea game.
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Hahahahah kumbeee? Ila sidhan ka ni vizuri! Ww mtu akikupiga chabo afu ukajua utajifili aje?
chabo ni starehe kama starehe zingine
kwa nini watu wanakunywa bia?

Baadhi ya faida za chabo ni zifuatazo:-

Ujue chabo zingine zinalipiwa kwa hiyo inaongeza mzunguko wa pesa

kubadilishana ujuzi bila kuambukizana magonjwa

kuongeza hamasa ya mpichaji chapo

kukosoana pale mpigaji chabo anapoona unakosea game.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,257
2,000
ah wacha bwana weee...umenikumbusha enzi za miaka 14, 15 wakati huo ndio ulikuwa mchezo wangu...yaani acha tuu kuna raha kuwaangalia watu wakipeana utamu...u like...ah pale ningefanya hivi baadala ya vile, ah anakosea kumgusa pale...its very educational mwana.
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,916
2,000
kwani tatizo liko wapi,mtu anajipigia yake chabo ,hachukui dirisha wala mlongo..acha hizo bro.
 
Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,683
1,225
bila shaka wamekuchungulia hahaha usichukie, kwani kuna raha gani ya kuangalia picha za ngono? tambua chabo ni zaidi ya hapo.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,035
1,500
zinaitwa 'live documentaries' uswahilini.

Ama stadi ma maisha.

ah wacha bwana weee...umenikumbusha enzi za miaka 14, 15 wakati huo ndio ulikuwa mchezo wangu...yaani acha tuu kuna raha kuwaangalia watu wakipeana utamu...u like...ah pale ningefanya hivi baadala ya vile, ah anakosea kumgusa pale...its very educational mwana.
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
ah wacha bwana weee...umenikumbusha enzi za miaka 14, 15 wakati huo ndio ulikuwa mchezo wangu...yaani acha tuu kuna raha kuwaangalia watu wakipeana utamu...u like...ah pale ningefanya hivi baadala ya vile, ah anakosea kumgusa pale...its very educational mwana.

HAHAHAHAHAHAHAHA....!!
LOL...MASKIN MBAVU ZANGUUU
:madgrin: :madgrin:
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
chabo si deal wala nini, na wala usiombee mtu akakupiga chabo inakera sana.

hii tabia ina kera sana

ni kuvunjiana heshima kabisa
tuheshimiane ndugu zangu
mimi najiona natembea kumbe mtu ananifaham undani wangu inn and out
haipendezi hata kidogo...!!
Haipendezi kabisaa
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
bila shaka wamekuchungulia hahaha usichukie, kwani kuna raha gani ya kuangalia picha za ngono? Tambua chabo ni zaidi ya hapo.

suala la kuuona uchi wangu kihole holela linachukiza sana,tena bila ridhaa yangu
mimi nimeridhia anione yule ninaeshirikiana nae pale,sasa huyo anaekuja kwa kificho anakuja kwa lipi??
 
mathcom

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,399
1,195
Inakeza sana mkuu!!
Si kila tukijenga majumba basi twajizuiya na simba au wezi tu, bali tunajificha wakati wa kula cha kula !!
Kwani viliwavyo hutofautiana ladha na kila mtu ana style yake ya kutafuna !!
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
chabo ni starehe kama starehe zingine
kwa nini watu wanakunywa bia?

Baadhi ya faida za chabo ni zifuatazo:-

ujue chabo zingine zinalipiwa kwa hiyo inaongeza mzunguko wa pesa

kubadilishana ujuzi bila kuambukizana magonjwa

kuongeza hamasa ya mpichaji chapo

kukosoana pale mpigaji chabo anapoona unakosea game.

dah,,
aisee,,hii ni hatari sana kongosho...
 
kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,916
2,000
sasa kwanini anipige chabo??
Sio fresh kabisaa

kila mtu na maisha yake etiii..!
kwanza ni udhalilishaji wa jinsia kutambua uwepo wa mtu dirishani wakati wewe uko katikati ya game,inabidi uwe full focused kwenye game mpaka mwisho.
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
inakeza sana mkuu!!
Si kila tukijenga majumba basi twajizuiya na simba au wezi tu, bali tunajificha wakati wa kula cha kula !!
Kwani viliwavyo hutofautiana ladha na kila mtu ana style yake ya kutafuna !!

umeonaa eeeh??
Yan huku ni kuingiliana uhuru wa ndani kabisa
sio uungwana kabisa
 
Top Bottom