Hivi hii inawasaidia nini??tubadilike,,

Chabo zinachouzi ni CV yako kusambaa mtaani bila idhini yako!!!!!!!!! "Usimuone yule afisa vile, hana lolote! Goli moja anabaki kujambajamba na kuhema tuuuuuuu!" " Dada mzuri wa sura tu, gogo gogooo tena la mnazi, hechezi juu wala chini hatingishiki, akijibweteka kajibweteka!!!!!!!

Hapo unapita unawasalimu wanakuchora tuuuuu!!!!!!!!! Mambo gani sasa hayo? Raha ya mechi kusiwe na watazamaji!!!!!!!
 
kweli kabisa LARA1
INASHUSHA HESHIMA SANA
TUACHE HII TABIA,SIO VZR
 
kwani tatizo liko wapi,mtu anajipigia yake chabo ,hachukui dirisha wala mlongo..acha hizo bro.

dawa yenu nyie kumwagiwa tindikali au kuwapitishia mkuki katikati ya jicho, say hell to chabo
 
Hahaha pal the Big show, mi wanapiga chabo hata nikiwa naangalia TV, Sa sijui huwa wana enjoy nini wakati wao wamesimama mie nimekalia sofa langu. Kuna siku niliwatimua wakakaa kama wiki wamerudi tena, naona ni kama ka utaratibu flani hivi wamejiwekea wanakapenda.
 
Where do you live?? Hakuna madirisha au hata pazia? Nimewahi kusikia chabo lakini sikudhani Kama ni tatizo sugu.

Habari za saa hizi,,

hii tabia ya kwamba wenzetu wamejipumzisha na mbavu zao za maisha kimahaba then wengine tena wenye mbavu za kwao wanakuja kuchungulia chungulia madirishani "kupiga chabo" kwa lugha nyingine..

Hii inawasaidia nini baadhi ya wenzetu wenye tabia hizi?kuna kipindi nilidhani ya kwamba hizi ni tabia za watu wa uswahilini,ambao hawana shule na waliokosa ustaarabu kumbe imekua ni zaidi ya hapo,,

suala la faragha ni suala nyeti sana linalohitaji staha ya watu wawili wenye ridhaa yao kwa raha zao,,sasa wewe unaongezeka kuwa wa tatu bila ridhaa yao huoni kwamba unawakosea??...

Wenye tabia hii me nawaona...

Tubadilike,usiku mwema.
 
hahaha pal the big show, mi wanapiga chabo hata nikiwa naangalia tv, sa sijui huwa wana enjoy nini wakati wao wamesimama mie nimekalia sofa langu. Kuna siku niliwatimua wakakaa kama wiki wamerudi tena, naona ni kama ka utaratibu flani hivi wamejiwekea wanakapenda.

kiongozi don mangi hii kitu inaondoa staha sana mkuu
au washakua addicted na tabia hii?dah..
 
Habari za saa hizi,,

hii tabia ya kwamba wenzetu wamejipumzisha na mbavu zao za maisha kimahaba then wengine tena wenye mbavu za kwao wanakuja kuchungulia chungulia madirishani "kupiga chabo" kwa lugha nyingine..

Hii inawasaidia nini baadhi ya wenzetu wenye tabia hizi?kuna kipindi nilidhani ya kwamba hizi ni tabia za watu wa uswahilini,ambao hawana shule na waliokosa ustaarabu kumbe imekua ni zaidi ya hapo,,

suala la faragha ni suala nyeti sana linalohitaji staha ya watu wawili wenye ridhaa yao kwa raha zao,,sasa wewe unaongezeka kuwa wa tatu bila ridhaa yao huoni kwamba unawakosea??...

Wenye tabia hii me nawaona...

Tubadilike,usiku mwema.

Wenyewe wameniamsha usingizini na makelele yao..ooh nichome hapo hapo.....sijui oh we mtamu...mara mayowe....uuuuuwiiii.. Niliposhtuka usingizini nikapanda juu ya dari nikawachapa chabo la kufa mtu
 
Mtu anatoka kula chabo halafu anaenda kula ugali kwa picha ya samaki...chezeya chabo weye!.
 
where do you live?? Hakuna madirisha au hata pazia? Nimewahi kusikia chabo lakini sikudhani kama ni tatizo sugu.

ni tatizo kubwa sana mkuu
na ni heri tuh nyumba zetu kuzungushia uzio wa nyaya za umeme kuondoa kabisa mzizi wa fitina
 
Wenyewe wameniamsha usingizini na makelele yao..ooh nichome hapo hapo.....sijui oh we mtamu...mara mayowe....uuuuuwiiii.. Niliposhtuka usingizini nikapanda juu ya dari nikawachapa chabo la kufa mtu

AAAAH AISEE,,
:madgrin: :madgrin:
 
Back
Top Bottom