Hivi hii iko Libya tu kwetu hakuna,?

Hivi hii iko Libya tu kwetu hakuna,?

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Nilikuwa natafakari kuhusu biashara ya uuzaji wa binadamu ambayo inalalamikiwa na kulaaniwa vikali nikajiuliza hivi malaya wakijiuza sio biashara ya binadamu, kama jibu ni yes huku kwetu hakuna? Ok mtu akipewa hela ahamie Chama kingine je huko nako ni kujiuza ? Na kama jibu ni yes, je ni sawa na malaya wanavyojiuza? Je pia nayo ni biashara ya binadamu? Je ina madalali kama biashara nyingine? OK if yes huku kwetu biashara ya uuzaji binadamu kwa kujiuza /au kuuzwa ipo /haipo? . Matokeo ya omo ukichanganya na maji inaruhusiwa
/
 
Pole pole...makonda....jerry. Hawa ndo madalali Mkuu.
 
Kwani una uhakika Ben saa8 hakuuzwa?

Kwani una uhakika hawa wanaohamia CCM hawanunuliwi?
 
Ile ya Libya ni tofauti!! Unauzwa huku umenyoshewa bunduki hakuna hiyari, hii ya hapa unapatanishwa ni njaa ya mtu.
 
Mtumwa uwa hajiuzi ila anauzwa bila hiyari yake.
Kinachotokea ccm ni sawa tu timu mmoja kununua mchezaji toka timu nyingine ya mpira ingawa kisiasa si sawa hiyo ni rushwa kama rushwa nyingine
 
Back
Top Bottom