Hivi hii hali ni ya kawaida?

Kama huyu ndoo msomi wa mwaka wa pili chuo kikuu aisee bora uache chuo.Sasa kama kuandika huwezi watu watakusaidiaje?
CIO_sio KO kwaiyo umeelewa mimi naona napoteza sana mda kutyp full sentensi naona kidole kinauma naona ujumbe utachukua mda mrefu kuhuwasilisha kwa hadhira natumia vifupisho nikijua mtu yeyote mwenye akili timamu ataelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama matokeo ya CA yanapotoka unajikuta umevaa namba za viatu unaweza kujikuta katika hali hiyo, jitahidi kupiga msuli tu unaweza kutoboa
 
Kwa maelezo yako kuna mambo 2 au 3 yanakusumbua.
1. Huenda ulisota kidogo huko nyuma ukaamua kuzisaka ngawira ili uende chuo sasa unazikumbuka na unajiona ulipoteza fursa.
2. Hiyo course unayoichukua, uliienda tu kwa usikia sifa zake kwa wengine au ulitaka uje kufanana na flan. Ulipoingia ukakuta ndivyo sivyo. Sasa unatamani uiache ukachukue ilokuwa moyoni mwako tangu mwanzo unaona umeshachelewa.
3. Umetokea jamii yenye kuamini sana ulozi. Kuna vijiji vingine mtu kuwa na nyumba ya bati tu ni kosa hivyo umejikuta ukiamini kuwa huenda ukafa kabla ya kumaliza chuo kwa sababu utalogwa. Hivyo huoni faida ya kusota chuo.
Suluhisho;
Okoka tu. Jiunge na kanisa zuri la kiroho huko utapata maombi na utaishinda hiyo vita. Hiyo ni roho mbaya ya umasikini inakuandama ili uje kukata tamaa ujiue.
 
Mkuu kwani kuna kanisa baya LA kiroho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbegu zimezidi fanya mpango uzipunguze dogo
Nilianza chuo safi ila hali ilibadilika ghafla sijui kama ni hali ya kimaisha au kuna kitu kingine imefika stage roho inauma muda wote niache chuo!

Nimekuwa wa kuhama hama mara nikae hapa nitoke mara pale yaani nimekuwa ni mtu wa kuangaika kimawazo na hali inachachamaa zaidi inapokalibia mitihani yaani nakuwa kama nimechanganikiwa.

Nashika daftar naacha nashika daftar nafunua tu sisomi au narudisha tena kwenye mkoba na hii hali tangu imeanza hamna siku nilopumzika hata nikirudi nyumbani likizo ule moyo wa kuacha chuo upo pale pale je ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom