Hivi hii hali ni ya kawaida?

Hivi hii hali ni ya kawaida?

Shida ni kwamba hali ilianza kabla hatujaachan na nilimficha kama naisikia iyo hali.tulikuw tuko poa kabisa lakin mi ilishaanza nisumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapaswa kufanya maombi ya nguvu uondokane na hali hiyo. Kuna mwanafunzi mmoja yeye alikuwa hamalizi chuo anaanza akifika mwisho anabakiza kozi moja tu anatoweka hata akiitwa haji kumaliza na alikuwa smart sana darasani.

Ulimwengu una mambo ya ajabu sana nakushauri ufanye maombi nenda kwa mtu wa Mungu wa kweli sio akina Mwamposa akuombee na pia wewe sali sana ukimwomba Yesu Kristo utakuwa shwari.
 
Nimechok kuombew kila siku naombew nishakata tamaa ya maomb najilazimisha tu kwa lolote nifie huku huku chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechok kuombew kila siku naombew nishakata tamaa ya maomb najilazimisha tu kwa lolote nifie huku huku chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa ni mtu nilokosa raha alafu saiz inakuja hali ya kuchukia mazingir kama niamie chuo kingin yan yanakuj mambo mengi meng kichwan ka mtu ambaye hana akil na sijawah kuacha kuwaza huko nyuma ilianza kawaida kipind cha mitihan ikawa ka niende nikafany ka niach jinsi siku zilivyokuw zinazid na hali ilikuw inazidi darasan najirazimish kwenda kila kitu najilazimish

Lakin mitihan nafaulu sana nasiingii na chabo wala nn na huw napend kukaa dawat la mbele kabisa kuna siku nilipoteza tu kumbukumbu kweny mtihan nilisom san lakin nilivyofik kweny mtihan yote yali evaporate nikaix kama mwenzangu ananichawia tangu hapo dawat langu la mbel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hiyo hali yako naona imekaa kisakolojia Zaidi?TAFUTA PSYCHOTHERAPIST NIAMINI UTAKUWA SAWA KABISA
 
Nilianza chuo safi ila hali ilibadilika ghafla sijui kama ni hali ya kimaisha au kuna kitu kingin imefika stage roho inauma mda wote niache chuo! Nimekuw wa kuhama hama mara nikae hapa nitoke mara pale yan nimekuwa ni mtu wa kuangaika kimawazo na hali inachachamaa zaidi inapokalibia mitihani yaani nakuwa kama nimechanganikiwa nashika daftar naacha nashika daftar nafunua tu sisomi au narudisha tena kwenye mkoba na hii hali tangu imeanza hamna siku nilopumzika hata nikirudi nyumbani likizo ule moyo wa kuacha chuo upo pale pale je ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuacha chuo sio mwisho wa maisha. Wewe acha tu
 
Ye cio sababu coz iyo hali ilianza ata kabla ya kuachan nimezunguk kwa waganga naambiw kun mchez umefanyik ko sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu mwanafunzi wa mwaka wa pili, kuna hili suala la hizo CIO na KO huwa sielewi maana yake,mwanzoni nilipoanza kuziona nikawa nadhani ni typing error lakini baada ya kuangalia vizuri keyboard nikagundua kuwa zinatumika kwa makusudi kwani S,O na K ziko mbali sana. Naomba kujuzwa.
 
CIO_sio KO kwaiyo umeelewa mimi naona napoteza sana mda kutyp full sentensi naona kidole kinauma naona ujumbe utachukua mda mrefu kuhuwasilisha kwa hadhira natumia vifupisho nikijua mtu yeyote mwenye akili timamu ataelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hao nasikia,wanahusik na,waliovunjik viungo wanahusian vip na mambo ya,cycological

Sent using Jamii Forums mobile app
psychotherapist is a trained professional who assists those who are suffering with stress, anxiety, depression, bipolar disorder, negative behavior patterns, debilitating feelings, and various other mental conditions.
 
Back
Top Bottom