Nilianza chuo safi ila hali ilibadilika ghafla sijui kama ni hali ya kimaisha au kuna kitu kingine imefika stage roho inauma muda wote niache chuo!
Nimekuwa wa kuhama hama mara nikae hapa nitoke mara pale yaani nimekuwa ni mtu wa kuangaika kimawazo na hali inachachamaa zaidi inapokalibia mitihani yaani nakuwa kama nimechanganikiwa.
Nashika daftar naacha nashika daftar nafunua tu sisomi au narudisha tena kwenye mkoba na hii hali tangu imeanza hamna siku nilopumzika hata nikirudi nyumbani likizo ule moyo wa kuacha chuo upo pale pale je ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app